Listen to Boda Boda by Balaa MC

Boda Boda

Balaa MC

Pop

1,359 Shazams

Lyrics

Vinanda Classic We mushizo utawauaaaa Lololiloliloliloooo Aaah Chunchuu eheee Jamanii leo nakuja kwako sikuachii hata dalaa Jua kesho nikija tena nitakupa dollaa Riziki mafungu saba kupata na kukosaaa Usichukie leo kisa sijakupa helaaa Ehh tupo kwenye mstari tupo kwenye foleni Zamu yangu itafika tuu,Dumu langu mi la mwisho Subira huvuta heri nami nitajazaa mama weeh Basi usinune mama Napambana nawe kesho utakula nyama Ona siku hazifanani mama Ona leo afadhali hata ya jana Mchumba boss nae anawaka sana Sijampa hesabu ya kweli tangia jana Ona pikipiki mafuta haina cheni imelegeaa Pesa ya kukaza sinaa Ona matatizo chungu mzimaa Na ndugu kibaoo ila nipo kama yatimaaa Ndio nategemeaaaaa Bodaboda eheeeee Bodaboda silali na foci upate kula Bodaboda wohhooo Bodaboda na force nipate alfu 6 ya kijoraa weeh Bodaboda eheeeee Bodaboda mi roho mkononi kwa ajili yako mamaa Leo nakuja kwako sikuachii hata dalaa Jua kesho nikija tena nitakupa dollaa Riziki mafungu saba kupata na kukosaaa Usichukie leo kisa sijakupa helaaa Roho yangu nimeibeba mkononii Hii kazi maisha yangu yapo matatani Kuna mambo mengi umo barabaranii Tunachukiwa hatupendwi tunaonekana waunii tuu Bodaboda yenyewe daywaka mama weee Saa unanuna nini nikipata shukuruu Kupata kazi road ngumu sio rahisi mama weeeh Hatuaminiki tunaonekana magegeduu tuu Jana nilipakia abiria mbagala rangitatu Akasema nimpeleke chasimba majimatitu Kweli bila kusita akakalia sitii Nami kichwani nishapata rizikii Kweli kisicho riziki hakilikii Sindio akanikosa kosa nusu ya kupigwa risasii Bodaboda eheeeee Bodaboda silali na foci upate kula Bodaboda wohhooo Bodaboda na force nipate alfu 6 ya kijoraa weeh Bodaboda eheeeee Bodaboda mi roho mkononi kwa ajili yako mamaa Ahh balaa mc 26 kipajii eheee Ahh nikiwa vinanda classic eheee Ahh nikiwa na producer Fadhili chunchu chuncheeeh Ahh team ile ilee 26 kipajii ehh Nakubali sana maneger small doh Ahh hemedii ehhh Ahh nakubali sana watoto wa mbagala temeke kinondoni mpaka ilalaa Wanangu wa bodaboda nakubali sana wanangu wa maji matitu Hii hapa nyinginee tenaa (usinunee mamaa) Lyrics By Chamazi Music
Writer(s): Balaa Mc Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramPath