album cover
Usiniache (Remastered)
album cover
00:00
00:05
00:20
00:25
00:30
00:45
00:50
01:05
01:30
01:50
02:10
02:45
02:50
02:55
03:05
03:30
00:00
03:53
Past 7 Days
Usiniache (Remastered) was discovered most frequently at around 2 minutes and 10 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Chorus]
Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa
Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa
[Verse 1]
Kwanini yaani home uliondoka
Mi mpweke ukanitupa
Kutwa mami mi nakuwaza
Baby I love you
Umenitupa nateseka moyoni sina raha naweweseka
Nakuomba basi urudi nakupenda
Ooh baby ooh baby
[Chorus]
Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa
Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa
[Verse 2]
Mi nawaza kutafuta
Sababu ya yote baby nakupenda
Nakuomba mami elewa wanitesa
Oh baby ooh baby
Usinitupe nakupenda
Mapenzi bila wewe mi crazy ma
Nakuomba unielewe nateseka
Ooh baby I love you
[Chorus]
Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa
Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa
[Verse 3]
Si kwamba siwezi bila we no
Naweza kukaa pekee yangu ila tatizo roho
Roho inaniambia niwe na wewe mami
Unipoze roho napotoka mahangaikoni (Usiondoke)
Utanifanya nizidi kudata
Mengi yatakwenda slow haitakwepo tena faster (Usiondoke)
Itakua kama umeng'oa kiraka
Kwenye giza bisho tena bisho matata
Laiti ungejua ungetambua
Sababu ni wewe nanyeshewa na mvua
Sababu ni wewe nachomeka na jua
Natafuta dawa nikuponye ukiugua
Njoo tujenge uzio wetu wa mapendo
Tule kiapo kama Maddy na Pendo
Tung'ang'ane tunatane tushibane tupendane tusiachane
[Chorus]
Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa
Laiti ungejua nakupenda
Moyoni mi nahuzunika
Usinitose utaniumiza
Mapenzi mi yananitesa
[Outro]
I love you
Wewe eeh I love you
Wewe eeh I love you
Written by: Spack Tanzania
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...