Lyrics

Welcome Aaaaaaaahhhhhhhhhhh Kadogodogo Kazurizuri katoto kamoto toh Kananipaga tuchizi nachanganyiwa masotojo motomoto Tunakeshaga popo nikiwa nae mixer na misokoto to toh Ntakapeleka koko kula mihogo na kaupepo ka koko koh Me nyota wake mchana usiku Anawakawaka muone anavyong'ara Me nyota wake mchana usiku Anawakawaka muone anavyong'ara Hata kesho we special Rngaringa kwa madeko Umenikaa nice aise I thanks God Lord of mercy Aaa jiachie jimalizee Ukiwa na mi sinyorita Kama ukitaka nikuimbie Nitakupigia na guitar Sikupi nusu ni lita Ujilambe kabisa We ni taa kwenye kiza Na unanimaliza Me nyota wake mchana usiku Iyeeee yee yeeeeeh Anawakawaka muone anavyong'ara Iyeeeee yee yeeeeh Me nyota wake mchana usiku Iyeeee yee yeeeeeh Anawakawaka muone anavyong'ara Iyeeeee yee yeeeeh Vimacho vyakudanganya danganya Kisura chenye mvuto toh Kana motion motion Body lakupigia photo Hana shobo na mabangaroo Anatimbaga tu geto Amezimika nami baby Anazifuata na protocol Ananita dady anataka love love Namwita sweet mi nataka love love You are the only one for me Zawadi kubwa nimepata They'll never understand Umenifanya nang'ara Aaa jiachie jimalizee Ukiwa na mi sinyorita Kama ukitaka nikuimbie Nitakupigia na guitar Sikupi nusu ni lita Ujilambe kabisa We ni taa kwenye kiza Na unanimaliza Me nyota wake mchana usiku Iyeeee yee yeeeeeh Anawakawaka muone anavyong'ara Iyeeeee yee yeeeeh Me nyota wake mchana usiku Iyeeee yee yeeeeeh Inawakawaka muone anavyong'ara Iyeeeee yee yeeeeh Aaa jiachie jimalizee Ukiwa na mi sinyorita Kama ukitaka nikuimbie Nitakupigia na guitar You are the only one for me Zawadi kubwa nimepata aaah Iyeeeee Aaah iyeeeeee Iyeeeee Aaah iyeeeeee Iyeeeee aaaahhhhhhhh Aaah iyeeeeee Iyeeeee Aaah iyeeeeee Aaaaaaaaaaaaahhhhhh Iyeeeee Aaah iyeeeeee Iyeeeee Aaah iyeeeeee Iyeeeee aaaahhhhhhhh Aaah iyeeeeee Iyeeeee Aaah iyeeeeee
Writer(s): Lucas Masile Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out