Lyrics

Hey Asali wa moyo wangu Kafunzwa bara, penzi kalipata pwani eeh Sio malaya kama hivyo mnavyodhani eeh Mahabuba, kanitosha kwa mizani Sauti nyororo nyoka natoka pangoni Wapande juu wakazibe (wenye madonge) Kama hawatosheki wape kamba (nawakajinyonyenge) Mi na we ni alfa na omega (wapende wasipende) Nakwako nazidisha mapenzi (we unipende) Hapa ninakosa mikwako mahututi nachechemea Napatwa ukicha ukiwa mbali nami nateketea Wewe ndo ukuta wangu naengemea Ukija bomoka kipenzi changu sintajifia aah aah Iyoyoyoyo iyo iyoyo Iyoyo nambeleza kamwali eeh (iyooh iyoyo) Kamwali kanadeka deka (iyo iyoyo) Haka kamwali kazuri eeh (iyooh iyoyo) Aah kazuri, aah kazuri Niongeze mambo niwaumize wafe nachabo Wakicheza taikondo siwachina tucheze judo Mpenzi wangu mimi ongeza nyodo Wakileta za mgambo si machinga tusake mwendo (ooh oh) Hasara roho hasara roho Kwako najitazama nakufanya kioo Mindoshamba lako ongeza pembejeo Oh oh oh ooh Ooh baby njoo (ooh baby njoo) Usiseme inatosha kalia ka-marioo Nifunge kamba yako nisipatwe na mbio Oh oh oh ooh eeh Hapa ninakosa mikwako mahututi nachechemea Napatwa ukicha ukiwa mbali nami nateketea Wewe ndo ukuta wangu naengemea Ukija bomoka kipenzi changu sintajifia aah aah Iyoyoyoyo iyo iyoyo Iyoyo nambeleza kamwali eeh (iyooh iyoyo) Kamwali kanadeka deka (haha) (iyo iyoyo) Haka kamwali kazuri eeh (iyooh iyoyo) Record Kapoo baby
Writer(s): Aslay Isihaka Nassoro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out