album cover
Sawa
776
World
Sawa was released on July 22, 2022 by TUNDA MAN as a part of the album 2022
album cover
Album2022
Release DateJuly 22, 2022
LabelTUNDA MAN
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM101

Credits

PERFORMING ARTISTS
Tunda Man
Tunda Man
Performer
COMPOSITION & LYRICS
KHALIDI RAMADHANI TUNDA
KHALIDI RAMADHANI TUNDA
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Awadh Salim
Awadh Salim
Producer

Lyrics

Swali linakosa jibu
Chuo cha mapenzi gani umepitia
Raha unanipa za hajabu zimenizidi kimo nnachotumia
Wakwanza mola baada ya wazazi unafatia wewe
Mtoto mashallah andaa banda kuku wako mwenyewe (Aha)
Zenji kuna bahari ila sipandi boat napewa mgongo
Na mwali usinipe jicho we utabaki chongo(aha)
Kaa mbali na manyakunyaku mapenzi ya uwongo
Tafakari kwangu we ndio ini mkalia nyongo
Ahaaaa nishakupa mtima,napepea safina penzi halina kinaa
Aha nishachora na jina,kwako kauli sina,kama kondoo wa hitima
Nipe nikupe (haya we)
Nigande ka kupe (haya we)
Wanoko waumbuke (haya we)
Aha ehe
Aha ehe
Na ningekujuaga zamani tangu enzi zangu mi za utoto japo haiwezekani mwali wewe
Yani nimeokota dodo mchangani,
We kajoli mimi sharukhan,
Nampenda mpenda nani kama si wewe ehe
Wanasema umeniloga (sawa sawaa)
Na ni vingi vya kunoga (sawa sawaa)
Sawa sawa tule ugari bila mboga
Ata ulale bila kuoga (sawa sawaa)
Zenji kuna bahari ila sipandi boat napewa mgongo
Na mwali usinipe jicho we utabaki Chongo (aha)
Kaa mbali na manyakunyaku mapenzi ya uwongo
Tafakari kwangu we ndio ini mkalia nyongo
Ahaaaa nishakupa mtima,napepea safina penzi halina kinaa
Aha nishachora na jina,kwako kauli sina,kama kondoo wa hitima
Nipe nikupe (haya we)
Nigande ka kupe (haya we)
Wanoko waumbuke (haya we)
Aha ehe
Aha ehe
Aha ehe
Aha ehe
Written by: KHALIDI RAMADHANI TUNDA
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...