Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Longombas
Longombas
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Ogopa Djs
Ogopa Djs
Producer
Ogopa DJ's
Ogopa DJ's
Producer

Lyrics

[Intro]
Songa, roga
Songa, roga
Songa, roga
Songa
[Chorus]
Nikicheki ukidondo-dondosa, roho yangu inauma uma
Hiyo kadi ya kusonga songa (Songa) mbona unaturogaroga (Roga)

[Verse 1]
Mbiu ya mgambo ikilia ina jambo, nami ninalia kwasababu nina jambo
Sista vipi mambo (Aah, poa bratha!)?
Mi na ku-mind kishenzi (Wacha mchezo)
Unavyo walk, talk si unaelewa tena?Unavyolegeza macho nini unani k** kishenzi
[Verse 2]
Nami nimenusurika kuwa chizi (Kukubusu mimi sijui ni lini)
Mimi sina hili wala lile, (Wanakutaka wewe) la namchunga
Yule fala nini mi mwenyewe ni chuma
Nataka uwe mchumba (Ahh nyumba yenyewe huna!)
[Chorus]
Nikicheki ukidondo-dondosa, roho yangu inauma uma
Hiyo kadi ya kusonga songa (Songa) mbona unaturogaroga (Roga)
Nikicheki ukidondo-dondosa, roho yangu inauma uma
Hiyo kadi ya kusonga songa (Songa) mbona unaturogaroga (Roga)
[Verse 3]
Umesogamana nayo hadi sitamani ku kucheki cheza ngoma
Kwani ni noma hilo bu-du linanichoma hadi na tamani
La sista usitake mi nilie nimevumilia hadi nikaamua kukwambia
I love you shothel, mi nakupenda (Lakini mi naogopa!)
Usiogope kitu wala usiwe na hofu, yule ni mchovu, mbovu
[Refrain]
(Eee, najuta kistukia jee) ata do?!
(Akitucheki pamoja jee) ata do?!
Akwende basi, come niku-touch
[Chorus]
Nikicheki ukidondo-dondosa, roho yangu inauma uma
Hiyo kadi ya kusonga songa (Songa) mbona unaturogaroga (Roga)
Nikicheki ukidondo-dondosa, roho yangu inauma uma
Hiyo kadi ya kusonga songa (Songa) mbona unaturogaroga (Roga)
[Chorus]
Nikicheki ukidondo-dondosa, roho yangu inauma uma
Hiyo kadi ya kusonga songa (Songa) mbona unaturogaroga (Roga)
Nikicheki ukidondo-dondosa, roho yangu inauma uma
Hiyo kadi ya kusonga songa (Songa) mbona unaturogaroga (Roga)
[Refrain]
Adondo waka mipusa pe mipe, kipe mabuula ape
Akieteke jelwa kuduse, akwenchi kwenchia na aloba, aleba
Adondo waka mipusa pe, mipe, kipe mabuula ape
Akieteke jelwa kuduse, akwenchi kwenchia na aloba, aleba, alebe, kisekete
[Verse 4]
Logombas, cheza kuwa kwani twaku twakutongoza
Logombas, paja umejazia na figure kilogomba
Yaba logomba, njoo unatuchoma
Ukidondosa inavyosonga, hebu songesha, hebu songesha
[Verse 5]
Logombas, cheza poa kwani twaku twakutongoza
Logombas, paja umejazia na figure kilogomba
Yaba logomba, njoo unatuchoma
Ukidondosa inavyosonga, hebu songesha,
Hebu songesha
[Chorus]
Nikicheki ukidondo-dondosa, roho yangu inauma uma
Hiyo kadi ya kusonga songa (Songa) mbona unaturogaroga (Roga)
Nikicheki ukidondo-dondosa, roho yangu inauma uma
Hiyo kadi ya kusonga songa (Songa) mbona unaturogaroga (Roga)
[Chorus]
Nikicheki ukidondo-dondosa, roho yangu inauma uma
Hiyo kadi ya kusonga songa (Songa) mbona unaturogaroga (Roga)
Nikicheki ukidondo-dondosa, roho yangu inauma uma
Hiyo kadi ya kusonga songa (Songa) mbona unaturogaroga (Roga)
Written by: Longombas, Ogopa Djs
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...