album cover
Leo
10,937
World
Leo was released on February 12, 2018 by Various Artists as a part of the album Best of Kenyan Local Classics 6
album cover
Release DateFebruary 12, 2018
LabelVarious Artists
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM97

Credits

Lyrics

[Intro]
Senorita
Huyu ni Lenny
Mamacita
Homeboyz ah!
Production
Huyu ni Lenny
Musyoka weka hio kick
[Chorus]
Nasema leo nitahakikisha
Leo lazima atakuwa wangu
Nasema leo nitahakikisha
Leo lazima atakuwa wangu
[Verse 1]
Mara ya kwanza nilipomcheki
Kwa kweli ndugu mimi sikuamini
Lakini brother mimi sikusleki
Nikaamua mi nitajitahidi
Muda si muda mi nikainuka
Roho juu kama ile ya simba
Bila shaka basi nilifika
Wangu mkono na mimi nikampa
[PreChorus]
Aki ya nani anaua (Ameumbwa kweli akaumbika)
Aki ya nani ana sura (Sikufichi kweli anapendeza)
Nikasema niaje akasema ni fiti
Mambo ni vipi akasema ni freshi
Ole wangu huku mimi niliomba tu
Kwamba atajipa
[Chorus]
Nasema leo nitahakikisha
Leo lazima atakuwa wangu
Nasema leo nitahakikisha
Leo lazima atakuwa wangu
[Verse 2]
Mara tu tuliposhajuana
Nikatafuta njia za kukatia
Nikamuuliza kama ana boyfriend
Akanijibu ye hajafanikiwa
Nikamwambia dada usijali
Chaguo lako kweli limewadia
Akanicheki akapiga smiley
Siku yangu kweli imewadia
[PreChorus]
Aki ya nani anaua (Ameumbwa kweli akaumbika)
Aki ya nani ana sura (Sikufichi kweli anapendeza)
Nikauliza niaje ungependa kudensi
Akasema oh, yes please simindi kudensi
Kufika hapo sasa mimi nikajua kwamba amejipa
[Chorus]
Nasema leo nitahakikisha
Leo lazima atakuwa wangu
Nasema leo nitahakikisha
Leo lazima atakuwa wangu
[Verse 3]
Nilijaribu bahati yangu one time
Nikajaribu bahati yangu two time
Nikajaribu bahati yangu three time
Na sasa ni wangu nasema
Nilijaribu bahati yangu one time
Nikajaribu bahati yangu two time
Nikajaribu bahati yangu three time
Na sasa ni wangu
[Bridge]
Sasa yeye ni wangu, ni wangu
Unaona vipi?
Sasa yeye ni wangu, ni wangu
She's the only one for me
Sasa yeye ni wangu, ni wangu
Unaona vipi?
Sasa yeye ni wangu, ni wangu
Na mimi siringi
[Chorus]
Nasema leo nitahakikisha
Leo lazima atakuwa wangu
Nasema leo nitahakikisha
Leo lazima atakuwa wangu
[Outro]
Nakwambia, nakwambia
Nakwambia ni wangu sasa
Nakwambia, nakwambia
Nakwambia ni wangu sasa
Nakwambia, nakwambia wewe
Nakwambia ni wangu sasa
Nakwambia nakwambia
Nakwambia ni wangu sasa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...