Lyrics

Vindege john wamepata style kuu Mbona siku hizi wanacheza kichwa chini miguu juuu baba Vindege john wamepata style kuu Mbona siku hizi wanacheza kichwa chini miguu juuu baba Nipe nipe nipe nipee tenaa Bado bado bado bado sijaona Basi Jamani chura we umemuona chura dada chura we umemuona chura Jamani chura we umemuona chura dada chura we umemuona chura Hi inakuja na kiuno gani mbona hatari Mbona anakizungusha kama feni yaani hafai dada Love tz ana kiuno gani mbona hatari Muone anakizungusha kama feni yaani hafai dada Sijui kabila gani mi nahasi mpaganii yaani Sio powa anavyocheza chura humo ndani Sijui kaja nani jamani hyu chura wa nani Maana anacheza chura kama amepandwa Na maruwani oya basi Nipe nipe nipe nipee tenaa Bado bado bado bado sijaona Basi Jamani chura we umemuona chura dada chura we umemuona chura Jamani chura we umemuona chura dada chura we umemuona chura Jamani huyu dada anacheza chura sio mchezo Ona kaingia kati kule kaanzisha mizozo Kwa Masela nasikia anacheza chura sio mchezo Ona kaingia kati kule kaanzisha mizozo kwa masela Kila mtu anatapa eti ye ni demu weke huyo Chajola anatoa namba chura hataki uyo Nyonyoki kaanzisha zogoo ni demu wake uyoo Father erick anatoa namba chura hataki uyo Masojo anaye anatamba ni demu wake uyoo Father erick anatoa namba chura hataki uyo Wacha bariiaaaaaaa We dada unachezaje mguu mmoja kushoto mwengine kulia Fanya kama unainama unaichunguliaa Hunioni kwa mbele mi niko nyumaa Mwanaume nilivyotulia nimesimama wimaa Jamani kumbe chura chura kisingeli Ukimkuta kwenye dundo yupo kati haelewii Muone kwanza miguu vumbii atulii kama kumbi kumbii Kutwa kuzurura mitaani na makundiii Oyaaa wee kumeajaaa uchafuu anatuzinguaa Izo zarau mwambie anaturushiaa tutamkaata Kumeajaaa uchafuu anatuzinguaa eeehhh Izo zarau mwambie anaturushiaa tutamkaata Watoto wa mabande black saniii Nakubali Watoto wa charambe teminaryy Watoto wavikindu mpaka sowetooo ehh Nakubali sana watoto wa kisemvule kijiwe jauu Wanangu unamuachaje acheze mwenyewe mshikilie kwa nyumaa Mshikilie mbishi ubishane hata akikusukumaaa We dada nakubambia hata ukinunaa Sibanduki sichomoki nakamatiiaa tibuduu mpaka chini nakwenda nae basii Akirudi mpaka juu unarudii ndio ubiingwa Akienda mpaka chini nakwenda nae basii Akirudi mpaka juu unarudii ndio ubiingwa Ndio umeng'ang'ania Acha bariaaaaaaaa aaahhh balaaa mc 26 kipaji ehee Nikiwa vibe record eeehhh Nikiwa na diblo one touch Nakubali san tema ile ile 26 kipajii ehh Meneja small daf Watoto wa mbagal kinondoni mpaka ilala Watoto wachanika nakubali wa toto wa bad hunterz Mtaaa wa mb ooo
Writer(s): Balaa Mc Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out