album cover
Haujui
3,519
Music
Haujui was released on August 18, 2022 by Brayban as a part of the album Haujui - Single
album cover
Release DateAugust 18, 2022
LabelBrayban
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM169

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Brayban
Brayban
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Benard Clavery
Benard Clavery
Songwriter

Lyrics

La Amore lyrics
Verse1
Oh baby (ooh baby)
My pipi (my pipi)
Amenikaa kichwani, amenikaa kichwani
Mwingine wa nini!?
Kanipatia dunia
Mizani imesha tulia
Amenikaa kichwani, amenikaa kichwani
Mwingine wa ninini!?
Mwingine wa nini nini!?
Oh baby, my pipi
Kanizoesha vibaya, kidoti cheupe dawa,
mi naye hatuna baya, kanionjesha dunia hii
Anajisititi juba,
Mi ameshanipa ridhaa
Baby ongeza na niqaab wasione!
Chorus
La amo, la amo
I love her, I love her
La amore, la amo
I love her, I love her
     NAMPENDA
Verse 2
Cherie, Cherie
Lady, my lady
Hamithiriki utamu, namuita pipi
Imetua manuari tanga, zanzibari, forodhani pemba, oh pemba(param parara, parara parara)
Kanijazia huba
Kanigandia ruba
Kanikatia tufaa (parara mparara)
Kanizoesha vibaya, kidoti cheupe dawa,
mi naye hatuna baya, kanionjesha dunia hii
Anajisitiri juba,
Mi ameshanipa ridhaa
Baby ongeza na niqaab wasione!
Chorus
La amo, la amo
I love her, I love her
La amore, la amo
I love her, I love her
     NAMPENDA
Written by: Benard Clavery
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...