album cover
Mbali
81
Afro-Pop
Mbali was released on September 30, 2022 by Independent Artist as a part of the album Ethanal Fire
album cover
Release DateSeptember 30, 2022
LabelIndependent Artist
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Edward's Ethan Okoth
Edward's Ethan Okoth
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Kama hii ni ndoto mniwache tu
Ju sirudi soko nimetoka huko
Saa hizi niko na mipango ju
Mipango ju yako jaber my nyako
Kamwe nini itatutenganisha kwa matatu ama taxi
Haikukatsi nijenge nawe bado naangalia mbele
Tuende mbele
[Chorus]
Ni mbali sana ninataka kuenda nawe ona ona
Ni mbali sana ninataka kuenda nawe ona
[Verse 2]
Najua haiwezi kuwa easy holding the atmosphere
Ukihitaji usaidizi nitakusaidia
Ju naona mbali mbali naona mbali mbali
Na ndoto zako nimeziweka hapa kando yangu
Ninaziona kama zangu maana
Hata milango zisipofunguka
Tutajijengea zetu tuende mbele
[Chorus]
Ni mbali sana ninataka kuenda nawe ona ona
Ni mbali sana ninataka kuenda nawe ona ona
Ni mbali sana ninataka kuenda nawe ona ona
Ni mbali sana ninataka kuenda nawe ona
[Outro]
Ni mbali sana ninataka kuenda nawe ona ona
Ni mbali sana ninataka kuenda nawe ona ona
Ni mbali sana ninataka kuenda nawe ona ona
Ni mbali sana ninataka kuenda nawe ona
Written by: Edward's Ethan Okoth
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...