album cover
Dunia
59,162
Bongo-Flava
Dunia was released on October 17, 2022 by Slide Digital as a part of the album Dunia - Single
album cover
Release DateOctober 17, 2022
LabelSlide Digital
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM87

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Hassan Mapenzi
Hassan Mapenzi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hassan Muhidin Shekinyashi
Hassan Muhidin Shekinyashi
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Kuna kuvaa na kustili mwili
Kuna kuishi na kuishia wee
Kuna kula na kujaza utumbo
Hii yote ni udunia ooh
Unaogopa kuzama kwenye mapenzi
Unazama baharini unakufa
Unaogopa kuchepuka unabaki njia kuu
Lorry linapita unakufa
Unaogopa kushikwa shikwa na mimi
Ukishikwa na Corona unakufa
Unaogopa kusema yanayo yanayo kusibu
Unayaficha moyoni unakufa
Dunia mwanangu
[Chorus]
Dunia ina wenyewe ujue wewe
Dunia ooh
Dunia wewe
Dunia ina wenyewe ujue wewe
Dunia ooh
Ooh dunia ooh
Dunia ina wenyewe ujue wewe
Dunia ooh
Duniani
Dunia ina wenyewe ujue wewe
Dunia ooh
[Verse 2]
Mama alinifunza utu uzima ni ungwana
Mtataka cha uvunguni sharti kuinama
Mtaka vya kilele sharti kusimama
Leo mi najionea ooh
Unayempenda hajakupenda wewe
Anayekupenda hujampenda wee
Mapenzi kichaka hayana agenda
Waaminifu wengi wamekwenda
[Chorus]
Dunia mwanagu
Dunia ina wenyewe ujue wewe
Dunia ooh
Dunia wewe
Dunia ina wenyewe ujue wewe
Dunia ooh
Ooh dunia ooh
Dunia ina wenyewe ujue wewe
Dunia ooh
Duniani
Dunia ina wenyewe ujue wewe
Dunia ooh
[Verse 3]
Mwanangu hutaki kazi unategemea madanga
Ukipata maradhi unakufa wee
Kaka unaleta mzaa kwenye mchezo wa ngumi
Unapigwa mchomoko unakufa wee
Dunia wee ooh
Written by: Hassan Muhidin Shekinyashi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...