album cover
Asante
24,971
Worldwide
Asante was released on June 27, 2025 by Ibraah as a part of the album Asante - Single
album cover
Most Popular
Past 7 Days
00:35 - 00:40
Asante was discovered most frequently at around 35 seconds into the song during the past week
00:00
00:05
00:20
00:30
00:40
00:55
01:20
01:25
01:40
01:55
02:00
02:10
02:25
02:30
02:35
02:45
03:05
03:10
03:25
00:00
03:35

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ibraah
Ibraah
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Abdallah Nampunga
Ibrahim Abdallah Nampunga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr T Touchez
Mr T Touchez
Producer

Lyrics

Kumbe kucha najikongoja
Yani kama naanza moja
Nikitazama majumba, magari
Sina hata bodaboda
Anaetoa, Mungu yangu nangoja
Na najitetea kwa hoja, napambana
Maana leo bora jana, afadhali
Dunia imejaa vioja, yeeeh
Kama si wewe Mungu, nimshukuru nani?
Maana wapo wanaotamani nisingeiona leo
Nashukuru nipo
Mungu Baba, tupo duniani
Wengine tunaishi nao wafuasi wa shetani
Wanatamani hata wangepata chako, cheo
Watupelekee simbo, heee
Sishindani nao, napiga majungu
Niwe na amani au sina furaha, anaejua ni wewe Mungu, eeeh
Sina tamaa na ninachojua sio langu fungu
Ninachojali: amani, furaha
Na mimi sio mtaka cha uvungu
Asante kwa kunipa hata pumzi tu
Asante, asante Mungu
Japo maisha yangu sio yale ya juu
Asante, asante Baba
Mi sina budi kukushukuru
Asante, asante Mungu
Japo maisha yangu sio yale ya juu
Asante, asante Baba (baba)
Nakataza moyo kwa kukata tamaa
Najikokota, naanguka, tena najiokota, eh eh
Nakataza moyo na kujirahisi tamaa
Kutamani ambavyo sijui walipambania, managapi vilikotoka
Napiga goti kwa Mungu wangu (Mungu wangu)
Ombi: nisije aga dunia bila kupata nilichokusudia
Umri unakwenda na nina familia inayoniangalia
Mungu wangu
Imani, maombi yatatimia
Maana penye nia pana njia
Na wewe ndio wakunitimizia, Mungu Baba
Wewe ndio msaada (Aaah)
Si shindani na wanaonipiga majungu
Niwe na amani au sina furaha, anaejua ni wewe Mungu
Sina tamaa na ninachojua sio langu fungu
Ninachojali: amani, furaha
Na mimi sio mtaka cha uvungu
Asante kwa kunipa hata pumzi tu
Asante, asante Mungu
Japo maisha yangu sio ya juu
Sina budi kukushukuru
Asante, asante Mungu
Japo maisha yangu sio ya juu
Asante, asante Baba
Mi sina budi kukushukuru
Asante, asante Mungu
Japo maisha yangu sio ya juu
Asante, asante Baba
Oya Baba, Baba, Babaa
Asante Babaaa
Asante Mungu
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...