album cover
Pesa
9
African
Pesa was released on November 17, 2022 by Lafrik Entertainment as a part of the album Love Freaks
album cover
Release DateNovember 17, 2022
LabelLafrik Entertainment
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM117

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lafrik
Lafrik
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Lafrik
Lafrik
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lafrik
Lafrik
Producer

Lyrics

Kukukopa harusi kukulipa matanga
Umefanya vijana wetu wanawekewa lawama
Mpaka nywele za vichwa zetu tumeshindwa kuchana
Hata kucha za manzi wetu tumeshindwa lipia
Mwanaume mwanaume mwanaume ni pesa
Mwanaume mwanaume sura mbaya bila pesa
Mwanaume mwanaume mwanaume ni hela
Mwanaume mwanaume utalizwa bila pesa
Pesa njoo oh pesa nakuita
Pesa njoo oh pesa itika
Pesa nikikupata wewe sitashikika
Pesa nikikupata wewe sitashikika ah
Aye iye ye iye ye eh
Pesa unefanya wanadharau mapenzi
Pesa umefanya tunateseka wengi Eh
Kina dada wamefata wababa vijana tunaumia
Sikuizi tunanyimwa number wasichana Wanaringa
Mwanaume mwanaume mwanaume ni pesa
Mwanaume mwanaume sura mbaya bila pesa
Mwanaume mwanaume mwanaume ni hela
Mwanaume mwanaume utalizwa bila pesa
Pesa njoo oh pesa nakuita
Pesa njoo oh pesa itika
Pesa nikikupata wewe sitashikika
Pesa nikikupata wewe sitashikika ah
Written by: Ali Suleiman Juma Gongah, Brandon Israel, Fidel Omusula, Jefferson Kaptunwo Chesebe, Lafrik
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...