Lyrics

Kumepambazuka Asubuhi na mapema Najitoa shuka nahisi tunazozana Kumbe moyo na nafsi vinakwazana Na sitaki moyo kupenda tena Mwili umekufa ganzi maumivu mwili mzima Moyo unauliza nafsi kumbuka yale ya nyuma Niliteseka na penzi langu Mama mama Masikini moyo wangu mie. Sasa nimpe nani, anaejua thamani Ajue mimi ni nani, bilinge sizitamani Sasa nimpe nani, ataejua thamani Ajue mimi ni nani, bilinge sizitamani ... Niliompata ntamlinda kama mboni ya macho yangu, maaachooo. Anaejua kupenda, anaejali thamani ya neno looove. Niliompata ntamlinda kama mboni ya macho yangu, maaachooo. Anaejua kupenda, anaejali thamani ya neno looove. Nawe usinidhihaki, usiponipenda mie Sijazoea mikiki napenda raha mieee Niliteseka na penzi langu Mama mama Masikini moyo wangu mie. Sasa nimpe nani, anaejua thamani Ajue mimi ni nani, bilinge sizitamani Sasa nimpe nani, ataejua thamani Ajue mimi ni nani, bilinge sizitamani ...
Writer(s): Isha Ramadhani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out