Lyrics

Kimambo on the beat. Hivi unavyo nifanyia naomba visijirudi kwako Maana mi naupenda moyo wako Nime muonaaa dah. ume mpost mtu wako Mnaendana sanaa na mimi sio type yakoo Nateswa na baridi silalii na weweseka Kulikosa penzi lako dosari na dhalilika Wakunipendeza amekuwa dhohari nyinyi nataabika Zile njozi sizipati nzuri Ooohhhh Hanipendi hanipendi hanipendi Hanitaki teena jamani hanipendi Hanipendi hanipendi hanipendi Hanitaki teena hanipendi. Aanhaaaa, anhaanhaaaaa, Kabadilika kawa mbogo instagram ana post madongo Kautupa moyo kwa korongo sioni kasha nipa chongo Mapenzi swala la uwongo siamini nime chezeshwa sodo Mwenzenu nime ukoka moto Unaniunguza mwenyewee Nateswa na baridi silalii naweweseka Kulikosa penzi lako dosari nadhalilika Wakunipendeza amekuwa dhohari nataabika Zile njozi sizipati nzuri Ooohhhh Hanipendi hanipendi hanipendi Hanitaki teena jamani hanipendi Hanipendi hanipendi hanipendi Hanitaki teena hanipendi Aanhaaaa, anhaanhaaaaa,
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out