album cover
Amen
1,403
Christian & Gospel
Amen was released on December 24, 2022 by Obby Alpha as a part of the album Tabasamu
album cover
Release DateDecember 24, 2022
LabelObby Alpha
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM94

Credits

PERFORMING ARTISTS
Obby Alpha
Obby Alpha
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Obby Alpha
Obby Alpha
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Eeiiyeehiyeii nhanhaha (Haye) mmh
[Verse 1]
Eh Mungu wangu nakutukuza kwa wema na fadhili zako
Moyo wangu wakuimbia, kwili lewe ni wa ajabu wee eeh
Eh Mungu wangu nakutukuza kwa wema na fadhili zako
Moyo wangu wakuimbia, kwili lewe ni wa ajabu wee (Amen)
[Chorus]
Nilipokuwa na shida, ukanisaidia bila kujali makosa weh (Amen)
Nilipokuwa naumwa ukaniponya bila kujali makosa weh (Amen)
Teknoloji gani ya kukushinda Bwana we
Sijakuambia ila wajua nini ninafanya wee
[PreChorus]
Umenibeba kwa mbendeko na chuma ila wapi eeh
Na umenipa vazi lako, umenifanya mshindi eeh
[Chorus]
Nilipokuwa na tabu ukaniona bila kujali makosa weh (Amen)
Nilipokuwa na shida, ukanisaidia bila kujali makosa weh (Amen)
Adui zangu wakiniwinda yeeh wananiona fafafa
Wanasema ninaringa yeeh na babu yako baba
[Chorus]
Sifa ntaziimba sia zako Bwanaa (Ameen haleluya amen)
Milele na milele yote (Ameen haleluya amen)
Nitakuusifu Bwana (Ameen haleluya amen)
Kule ulikonitoa na apa (Ameen haleluya amen) ninbaki kusema
Ameen, ameen
[Bridge]
Achika, achika
Achika, achika
[Verse 2]
Bwana mi nachechemea cheche (Cheche-cheche)
Ile kwako ni tegemeo pekee (Pekee-pekee)
Na nimeichoka misibaa, maana wanadamu wana visirani
Wakikupa msaada, kesho utasikia kwa jirani
Nilimwamini ndugu wa karibu, kwa akili nikadhani ana karibu
Nikakusahau tabibu, Bwana nisamehee (Ahaha)
[Verse 3]
Teknoloji gani ya kukushinda Bwana we (Hatuna katu)
Sijakuambia ila wajua nini ninafanya wee
[PreChorus]
Umenibeba kwa mbendeko na chuma ila wapi eeh
Na umenipa vazi lako, umenifanya mshindi eeh
[Chorus]
Nilipokuwa na tabu ukaniona bila kujali makosa weh (Amen)
Nilipokuwa na shida, ukanisaidia bila kujali makosa weh (Amen)
Adui zangu wakiniwinda yeeh wananiona fafafa
Wanasema ninaringa yeeh na babu yako Baba
[Chorus]
Umenibeba kwa mbendeko Bwanaa (Ameen haleluya amen)
Umeficha aibu yangu yee (Ameen haleluya amen)
Fadhaa zangu umebeba yeeh (Ameen haleluya amen)
Ameen, ameen, ameen (Ameen haleluya amen) ninbaki kusema
Ameen, ameen, ameen (Ameen haleluya amen) ninbaki kusema
Ameen, ameen, ameen
Written by: Obby Alpha
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...