album cover
Usimuamini
5,933
Christian & Gospel
Usimuamini was released on June 28, 2024 by Obby Alpha as a part of the album Bora Kushukuru
album cover
Release DateJune 28, 2024
LabelObby Alpha
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM100

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Obby Alpha
Obby Alpha
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Obby Alpha
Obby Alpha
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Music Surgery
Music Surgery
Producer

Lyrics

Ai yeah, yeah, yeah, yeah, yeah
Welcome to the music surgery
Pole yako we
Unayetaka mridhishe kila mtu
Na tena utambue kamwe huwezi kupendwa na kila mtu
Yule unaye muamini, unaye mthamini kama madini
Kumbe yeye akilini anawaza kukushusha chini
Usione mtu anacheka kumbe moyoni ameumia
Moyo wa mtu kichaka, siri zake huwezi kujua
Oh, oh, oh
Huyo best friend ndio anavujishaga siri
Oh, oh, oh
Kumbe ndugu yako ndio anakuloga sirini
We unaamini
Eti ridhiki ni kwa wote
Ila ndugu yako anatamani, 'we ukose ye apate
Ila usimuamini (Usimuamini mtu)
Anaweza fanya lolote upotee (Usimuamini mtu)
Wanadamu wanabadilika (Usimuamini mtu)
Asiye badilika ni Mungu (Usimuamini mtu)
Huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
Unaweza hangaika
Ukope, asome
Akishapata maisha kwake hataki akuone
Urafiki mwingine kazi
Umemsaidia apate kazi
Kisa ye amepanda ngazi
Anatamani ufukuzwe kazi
Kweli upendo umepanda bei
Urafiki umepanda bei
Hata undugu umepanda bei
Huwezi pata bila ya pesa
Fadhila zimepanda bei
Heshima imepanda bei
Kila kitu kimepanda bei
Huwezi pata bila ya pesa
Oh, oh, oh
Huyo best friend ndio anavujishaga siri
Oh, oh, oh
Kumbe ndugu yako ndio anakuloga sirini
We unaamini
Eti ridhiki ni kwa wote
Ila ndugu yako anatamani, 'we ukose ye apate
Ila usimuamini (Usimuamini mtu)
Wanadamu wanabadilika (Usimuamini mtu)
Asiye badilika ni Mungu (Usimuamini mtu)
Eti mara huyu best friend ndio anatunzaga siri (Usimuamini mtu)
Mara tena, huyu ndugu yangu hawezi kufanya hivi (Usimuamini mtu)
Kwasababu upendo wa kweli ni wa kuhesabu (Usimuamini mtu)
Yule unaye mpenda anakukataa (Usimuamini mtu)
Hey
Usimuamini mtu (Usimuamini mtu)
Written by: Obby Alpha
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...