album cover
Dawa
112
Christian & Gospel
Dawa was released on December 24, 2022 by Obby Alpha as a part of the album Tabasamu
album cover
Release DateDecember 24, 2022
LabelObby Alpha
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM95

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Obby Alpha
Obby Alpha
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Obby Alpha
Obby Alpha
Songwriter

Lyrics

Mmmh mmmh mmmh
Mmmh mmmh
Mwenzenu Nimepata Dawa
Dawa Dawa
Mmmh Nimepata Dawa
Dawa Dawa
Mwenzenu Nimepata Dawa
Dawa Dawa
Mmmh Nimepata Dawa
Dawa Dawa
Jamani Dawa hii sio dawa ya Mseto
Wala Dawa hii haifanani na Panadol
Jamani Dawa hii huwezi kuipata Kariakoo
Wala Dawa hii Huwezi kuipata Gongo la Mboto
Kuna kipindi niliteseka
Dawa kwangu ikafika
Akaja Daktali akaniita
Kasema Mwesho umefika
Nami nikasema
Ahsante Bwana aah
Maana unajua niliteseka sana
Ni tayari Bwana
Wakati umefika najua nitapona
Akanitua mizigo, Kasema pole na mahangaiko
Akaondoa mateso, Na maumivu niliyopitia huko
Nimepata Dawa
Dawa Dawa
Mwenzenu nimepata dawa
Dawa dawa
Rafiki nimepata Dawa
Dawa dawa
Mungu ndio yangu dawa
Dawa dawa
Nairingia dawa mmmh
Facebook, TikTok,Twitter Kote nitapost jina la hii Dawa
Instagram , Snapchat kote nitapita kupost jina la hii Dawa
Niliteseka kitambo, Nilichanja chale kila Angle
Haikunisaidia bado, Mpaka Alipofika huyu Komando
Nikasema ahsante Bwana aah
Maana unajua niliteseka sana
Ni tayari Bwana
Wakati umefika najua nitapona
Akanitua mizigo, Kasema pole na mahangaiko
Akaondoa mateso, Na maumivu niliyopitia huko
Nimepata Dawa
Dawa Dawa
Mwenzenu nimepata dawa
Dawa dawa
Rafiki nimepata Dawa
Dawa dawa
Mungu ndio yangu dawa
Dawa dawa
Written by: Obby Alpha
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...