album cover
Shulala
album cover
Shulala was released on March 9, 2022 by Anjella as a part of the album Shulala - Single
ReleasedMarch 9, 2022
LabelAnjella
BPM192
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Si haba moyo umepata kipozeo
Sasa mambo yote ng'ari ng'ari
Ng'ari ng'ari ng'ara
Eeh mahaba yamezidi matokeo
Amekaza zote nari nari nari nari nara
[PreChorus]
Mmh iwe kisu kiwembe mapanga manjenje
Ila kwako sichomoki
Umenichomoa pembe nimeacha mawenge
Umeniosha kwa dodoki
Nikikuita baby boo unaniita sweety chimama
Mapenzi ya karafuu kutafuna vijiti
Yaani penzi lako ni full kiyoyozi
[Chorus]
Shulala la la shula hey shulala
Shulala la la shula
Acha nilinge niwaringishie
Shulala la la shula
Tuwaonyeshe ma love tuwavimbie
Shulala la la shula shuuu
I like I like kumbate I like
I like I like I like kumbate I like I like
[Verse 2]
Hey sio vita haya ni mapenzi
Nashindwa kufurukuta yaani sijiwezi
Kwenye haya mapenzi kuna vingi viunzi
Maumivu kwa ganzi vyote kwako vimetulia baby
[PreChorus]
Iwe kwa kisu kiwembe mapanga manjenje
Ila kwako sichomoki
Umenichomoa pembe nimeacha mawange
Umeniosha kwa dodoki
Nikikuita baby boo unaniita sweety chimama
Mapenzi ya karafuu kutafuna vijiti
Yaani penzi lako ni full kiyoyozi
[Chorus]
Shulala la la shula hey shulala
Shulala la la shula
Acha niringe niwaringishie
Shulala la la shula
Tuwaonyeshe ma love tuwavimbie
Shulala la la shula shuuu
I like I like kumbate I like
I like I like I like kumbate I like I like
[Outro]
Anjella konde music world wide
Na big boy
Written by: Anjelina George
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...