Lyrics

Oooooh,deka kifuani mwangu Oooooh Poze, poze (Tedy B) Uh baby, nimekupenda kwa ndani Nikupeleke Mombasa kwa Joho Tukakule na raha mamaaa Michezo ya zigizigi ya kiwillywilly mamaaa Utapenda cherie ooh! nitavyojikaza Nikaribie nikueleze, navyohisi moyoni mwangu bebe Baby ukinitouch, me napigwa na butwaa Tukigombana, me napatwa na huzunii Ukiniacha mie, nitaumia moyonii Njoo nikugawie, nikugurumishe Uuuh beibee! nikugawie,nikugurumishe (uuh) Basi mie,nikumbatie nishikilie (ah) Deka kifuani mwangu Nikumbatie nishikilie ee Lala kifuani mwangu Nikumbatie nishikilie (nikumbatie eee) Deka kifuani mwangu nikumbatie nishikilie eee... lala kifuani mwangu Kama moyo ungekuwa,kitabuuu Ningekupa usome ee Ooh! Kama moyo ungekuwa,kitabuuu Ningekupa usomeee Basi unipe majigijigi majigijigi Twende wote mamaa Michezo ya zigizigi ya kiwilly willy Twende wote mamaa Aleh unipe majigijigi majigijigi Twende wote mamaa Michezo ya zigizigi ya kiwilly willy Twende wote mama Basi mie nikumbatie,nishikilie (ah) Deka kifuani mwangu Nikumbatie,nishikilie ee Lala kifuani mwangu Nikumbatie (nikumbatie yeah) nishikilie Deka kifuani mwangu Nikumbatie,nishikilie ee Jinsi ulivyo madoido lolo Ni mwendo uleule eh Na jinsi navyopenda ulivyoo Ni mwendo uleule eh Mh ma darling walolileeee yeh yeh yeh Unanikosha roho oo Ni mwendo wa madoido oh My lover, my honey ooh My baby, my sweet potato My honey oh, my honey eh Ni mwendo wa madoido ooh Ma ah!! My one and only lile lile ee My sweet ooh ooooh nikumbatie eh Lala kifuani mwangu wooouuuooh Mwendo wa kinyongaaaaa woouuuoh Ayahyahyah... uh baby Ali oooh, Ali yoyo(ye baba,wallah tena,eyo) Willy poze, poze Dimpoz pozi kwa pozey Poz kwa mapozi Nikumbatie, nishikilie kifuani mwangu uuuh ll
Writer(s): Ali Saleh Kiba, Ommy Dimpoz, Willy Paul Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out