Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kayumba
Kayumba
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ismail Juma
Ismail Juma
Songwriter

Lyrics

Aiyaaaaaah aiyaaaahhh aliyah yaayayaaaa
Mmmmh yaaaaaaaah
Usinivukie bahari nishakolea
Ushanivunja lege lege nimelegea
Kipepeo mpenzi niwe pepea
Kama hubbah mtoo nishatokomea
Babu jinga umuamishe zanzibar
Akaonje marashi ya pwaani
Tucheze kuchi kuchi kahona bazigar
Ukichoka ujilaze kifuani
Aaah wanijua
Penzi usizidishe chumvi utaniuwa
Wasiwasi wangu usije niumbua
Matatizo ndani tuta tatuaaaa
Habybbbbb wanijua
Penzi usizidishe chumvi utaniuwa
Wasiwasi wangu usije niumbua
Matatizo ndani tuta tatuaaaa
Oooh baby lalaaaaaa
Laaaalaaaalaaaa aaammmmmh
Laaaalaaaaalaaaaaoooohhhhh
Laaaalaaaalaaaaa mmmmmh
Lala lalaaaaaaa
Laaaalaaaaaa lala kifuani
Laaaalaaaalaaa hauna mpinzani
Laaaalaaaalaaaaa lala kwa moyooo
Lala ukibembeaaaaaaa
Jilaze laze uku ukipiga mbiziii
Jipumzishe kwa jabbari
Acha meli zinazopiga wimbi
Safiri na mimi manuariii
Changu kikali sio butu butu
Usinipe chai chuku chuku
Aki bby mida nishike huku
Ntaongeza ikizima luku
Aaah wanijua
Penzi usizidishe chumvi utaniuwa
Wasiwasi wangu usije niumbua
Matatizo ndani tuta tatuaaaa
Ā wanijua
Penzi usizidishe chumvi utaniuwa
Wasiwasi wangu usije niumbua
Matatizo ndani tuta tatuaaaa
Laaaalaaaalaaaa aaammmmmh
Laaaalaaaaalaaaaaoooohhhhh
Laaaalaaaalaaaaa mmmmmh
Lala lalaaaaaaa
Laaaalaaaaaa lala kifuani
Laaaalaaaalaaa hauna mpinzani
Laaaalaaaalaaaaa lala kwa moyooo
Lala ukibembeaaaaaaa
Written by: Ismail Juma
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...