Lyrics
20 per...
Mtazamo wa mbali
Naficha na-na-na-naficha
Naficha haya ninayoyaona
Naficha na-na-na-naficha
Naficha naopoga isije ikiwa noma
Naficha na-na-na-naficha
Naficha haya ninayoyaona
Naficha na-na-na-naficha
Naficha naopoga isije ikiwa noma
Kuna familia nyingine kuwa uolewe
Miaka tisa tayari ana mumewe
Roho inaniuma lakini bora niuchune
Naficha wazazi wasinikane
Nyinyi ndie wakumpa kampani
Apate maisha mema hapa duniani
Miaka tisa leo yuko mbilini
Hiyo leo huyo kapata lini? (lini?)
Naficha na-na-na-naficha
Naficha haya ninayoyaona
Naficha na-na-na-naficha
Naficha naopoga isije ikiwa noma
Naficha na-na-na-naficha
Naficha haya ninayoyaona
Naficha na-na-na-naficha
Naficha naopoga isije ikiwa noma
Niko kama jiko napika madikodiko
Ila kwenye meseji na wala kiti hakipo
Bora mara kumi niwe meza au mwiko
Ndo mana ukinipamba sibweteki na maujiko
Niko kama jiko napika madikodiko
Ila kwenye meseji na wala kiti hakipo
Bora mara kumi niwe meza au mwiko
Ndo mana ukinipamba sibweteki na maujiko
Buyeka Selekta
Man Simba
20 per...
Umefrahi?
Mzee mdomo unaponza kichwa
Sindano ndogo inayoshona makoti!
Naficha na-na-na-naficha (naficha)
Naficha haya ninayoyaona (eyeaah)
Naficha na-na-na-naficha (naficha)
Naficha naopoga isije ikiwa noma (Naficha naopoga isije ikiwa noma)
Naficha na-na-na-naficha (naficha)
Naficha haya ninayoyaona
Naficha na-na-na-naficha
Naficha naopoga isije ikiwa noma (eyaah, eyaah)
Kuna dj anasema hapokei rushwa ng'oo
Yani bure kwakwe tupeleke single
Tukipeleka nyimbo ndo songombingo
Haichezwi nyimbo mapaka apate bingo
Nimejipiga nimekutana na producer
Baada ya kibanda chetu cha urithi kukiuza
Kutengeneza wimbo pesa nimemaloza
Naye bila hela hataki kuicheza
Mlichobugi mulinzoesha hela
Mukasahau kwamba wengi mafukara
Mziki pesa mbele hivi sasa kwake ndo sera
Aliotuchana mdomo atatupa kura
Neno 'muziki' kwake familia bora
Mwanamuziki ni yule asiyeijua njaa
Kwa wenye fedha zitaongea hela
Ila wenye vipaji wengi mafukara
Naficha na-na-na-naficha (eyaah)
Naficha haya ninayoyaona
Naficha na-na-na-naficha (naficha na-na-na-naficha)
Naficha naopoga isije ikiwa noma (naficha naopoga isije ikiwa noma)
Naficha na-na-na-naficha (naficha na-na-na-naficha)
Naficha haya ninayoyaona
Naficha na-na-na-naficha (naficha na-na-na-naficha)
Naficha naopoga isije ikiwa noma
Written by: 20 Percent, Rorexxie & ISSAI IBUNGU

