album cover
Amigo
91,711
Worldwide
Amigo was released on February 12, 2024 by Rorexxie as a part of the album Sikiliza Bazee
album cover
Most Popular
Past 7 Days
00:20 - 00:25
Amigo was discovered most frequently at around 20 seconds into the song during the past week
00:00
00:05
00:15
00:20
00:40
00:55
01:05
01:10
01:15
01:20
01:35
01:55
02:00
02:10
02:25
02:30
02:35
02:40
02:55
03:05
03:55
04:00
04:20
04:30
04:40
05:10
05:15
05:20
05:25
05:50
06:55
08:10
00:00
08:24

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Prof. Omari Shabani
Prof. Omari Shabani
Songwriter
Les Wanyika
Les Wanyika
Songwriter
Juwata Jazz Band
Juwata Jazz Band
Songwriter
Nguza Viking
Nguza Viking
Songwriter
Msondo Ngoma Music Band
Msondo Ngoma Music Band
Songwriter
Nuta Jazz Band
Nuta Jazz Band
Songwriter
Mass Media Band
Mass Media Band
Songwriter
Zahir Ally Zoro
Zahir Ally Zoro
Songwriter
Dar Es Salaam Jaaz Band
Dar Es Salaam Jaaz Band
Songwriter
Majirani Rajab
Majirani Rajab
Songwriter
Tabora Jazz Band
Tabora Jazz Band
Songwriter
Nyanyembe Jazz Band
Nyanyembe Jazz Band
Songwriter
Och Jabiso
Och Jabiso
Songwriter
Them Mushrooms
Them Mushrooms
Songwriter

Lyrics

[Intro]
Amigo chunga watoto wako
[Verse 1]
Tabia zako zimeishakuponza
Mke na watoto wamekimbia
Tulikukanya chunga heshima yako
Mke na watoto wako nyumbani
Ndio hazina ya maisha yako. Amigo, Amigo
[Verse 2]
Wakati tunakupa ushauri eh
Ulituona sisi watu fitina
Twaingilia mambo yako ya ndani
Na kwamba tukuache kama ulivyo
Sababu wewe bingwa wa maisha, Amigo, Amigo
[Chorus]
Thamani ya mke ni mavazi
Kula vizuri, kulala vizuri
Ndio siri ya kudumisha ndoa
Mtaishi kwa raha, Amigo
[Chorus]
Watoto wako wapeleke shule
Kwa manufaa yao ya baadaye
Elimu ndio zawadi muhimu
Kwa watoto wako, Amigo
[Chorus]
Badala yake mambo yote hayo
Kwa mkeo imekuwa ni ndoto
Maisha yake ya kubahatisha
Na kazi unfanya, Amigo
[Chorus]
Mke amechoka mwisho kakimbia
Umebaki kulaumu mwenzio
Lawama zako hazina msingi
Bembeleza mkeo akurudie!
[Chorus]
Thamani ya mke ni mavazi
Kula vizuri kulala vizuri
Ndio siri ya kudumisha ndoa
Mtaishi kwa raha, Amigo
Watoto wako wapeleke shule
Kwa manufaa yao ya baadaye
Elimu ndio zawadi muhimu
Kwa watoto wako, Amigo
[Chorus]
Badala yake mambo yote hayo
Kwa mkeo imekuwa ni ndoto
Maisha yake ya kubahatisha
Na kazi unafanya, Amigo
Mke amechoka mwisho kakimbia
Umebaki kulaumu mwenzio
Lawama zako hazina msingi
Bembeleza mkeo akurudie
[PreChorus]
Majirani na rafiki tuliishakukanya sana, Amigo
Heshimu mke na watoto wako
Heshimu baba na mama nyumbani
Na wakwe zako uwape heshima
[Chorus]
Shemeji zako pia waheshimu
Tukawa sisi wabaya kwako, shauri wetu hauna maana
Tukwache kama ulivyo Amigo, sababu wewe ni bingwa wa maisha
Mahari umeshalipa Amigo
Mkeo huna habari naye
Na leo yamekufika mambo
Ubingwa wako na mke amekukimbia ehh
[PreChorus]
Majirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo
Heshimu mke na watoto wako
Heshimu baba na mama nyumbani
Na wakwe zako uwape heshima
[Chorus]
Shemeji zako pia waheshimu
Tukawa sisi wabaya kwako, shauri wetu hauna maana
Tukwache kama ulivyo Amigo, sababu wewe ni bingwa wa maisha
Mahari umeshalipa Amigo, mkeo huna habari naye
Na leo yamekufika mambo
Ubingwa wako na mke amekukimbia ehh
[PreChorus]
Majirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo
Heshimu mke na watoto wako
Heshimu baba na mama nyumbani
Na wakwe zako uwape heshima
[Chorus]
Shemeji zako pia waheshimu
Tukawa sisi wabaya kwako, shauri wetu hauna maana
Tukwache kama ulivyo Amigo, sababu wewe ni bingwa wa maisha
Mahari umeshalipa Amigo, mkeo huna habari naye
Na leo yamekufika mambo
Ubingwa wako na mke amekukimbia ehh
Written by: ISSAI IBUNGU, Les Wanyika, Rorexxie
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...