Credits
PERFORMING ARTISTS
Godfrey Steven
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Godfrey Steven
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Taz Goemi
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Sifa ya mpishi kupika chakula kiive
Sifa ya dereva abiria wafike
Sifa ya msomi ni kusoma ili afauru
Je waijua io sifa yake Mungu
[Verse 2]
Amewekeza yaliyomengi mazuri ndani
Sababu anayo imani na wewe
Kushindwa timiza aliokupa uyo Bwana
Ni kumuangusha uyu Mungu ee mama
[Chorus]
Milele, milele
Wewe si wakawaida
Milele, milele
Baba mama kazana
[Verse 3]
Ukiona bahari basi jua awezafanya njia
Ukiona ukame wejua awezaleta mvua
Ukiona njaa anauwezo wa kukupa chakula
Eeeh mama eeh baba mwamini tuu
[Verse 4]
Kama njia ni ngumu wahisi kama uwezipita ni miba eeh
Wewe rudi anatamani umshirikishe
Ameshategua mitego yako mingi kitu gani eeh
Aitwa mungu amewekeza vikubwa ndani mwako
[Chorus]
Milele, milele
Wewe si wakawaida
Milele, milele
Baba mama kazana
[Chorus]
Milele, milele
Wewe si wakawaida
Milele, milele
Baba mama kazana
Written by: Godfrey Steven

