Lyrics

Amekuja kwa mapenzi anayotaka apewe Anayotaka apewe Amekuja kwa mapenzi anayotaka apewe Anayotaka apewe Tena kwa ule ujuzi kwangu mimi ni utoe Tena kwa ule ujuzi kwangu mim ni utoe Tena kwa ule ujuzi,wangu mim ni utoe Tena kwa ule ujuzi,wangu mim ni utoe Kwake sinayo hiriz kapenda yeye mwenyewe Kapenda yeye mwenyewe Kwake sinayo hiriz kapenda yeye mwenyewe Kapenda yeye mwenyewe Kapenda si kwa miziz,sikumroga mjue Kapenda si kwa mizizi,sikumroga mjue Usione ameganda kwangu mie Si mzizi si hirizi nimapenzi tu Usione ameganda kwangu mie Si mzizi si hirizi nimapenzi tu Ameniletea penzi,atakavyo afanyiwe Atakavyo afanyiwe Ameniletea penzi,atakavyo afanyiwe Atakavyo afanyiwe Nami yake matumizi,najua niyatumie Nami yake matumizi,najua niyatumie Nami yake matumizi,najua niyatumie Nami yake matumizi,najua niyatumie Namtatua tatizi hamtaki mwenginewe Namtatua taizi hamtaki mwenginewe Hamtaki mwenginewe Namtatua taizi hamtaki mwenginewe Hamtaki mwenginewe Usione ameganda kwangu mie Si mzizi si hirizi nimapenzi tu Usione ameganda kwangu mie Si mzizi si hirizi nimapenzi tu Kapenda si kwa miziz,sikumroga mjue Kapenda si kwa mizizi,sikumroga mjue Nampa kwa uteuzi,kama apendavyo yeye Nampa kwa uteuzi,kama apendavyo yeye Nampa kwa uteuzi,kama apendavyo yeye Nampa kwa uteuzi,kama apendavyo yeye Nae amevunja kazi,kwangu nani amtoe Kwangu nani amtoe Nae amevunja kazi,kwangu nani amtoe Kwangu nani amtoe Usione ameganda kwangu mie Si mzizi si hirizi nimapenzi tu Usione ameganda kwangu mie Si mzizi si hirizi nimapenzi tu Amekuwa kama chizi,huba zake na moyowe Huba zake na moyowe Amekuwa kama chizi,huba zake na moyowe Huba zake na moyowe Namaliza sibakizi,chamuingia kiwewe Namaliza sibakizi,chamuingia kiwewe Namaliza sibakizi,chamuingia kiwewe Namaliza sibakizi,chamuingia kiwewe Ninampa bumbuwazi,lazima kwangu apowe Lazima kwangu apowe Ninampa bumbuwazi,lazima kwangu apowe Lazima kwangu apowe Usione ameganda kwangu mie Si mzizi si hirizi nimapenzi tu Usione ameganda kwangu mie Si mzizi si hirizi ni mapenzi tu Nimapenzi tu,Nimapenzi tu Nimapenzi tu,Nimapenzi tu Nimapenzi tu,Nimapenzi tu
Writer(s): Baraka Mkande Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out