Lyrics

Whola, whola (chui) Wholla, wholla, wholla Whola, whola (eeh Vanny Boi) Wholla, wholla, wholla (Vanny Boi) Yewe namaaan! (It's S2kizzy beiby) He si tuache au tuendelee Mnaonaje tuwache? (We tuendeleee!) Woza! Tuache au tuendelee Mnaonaje tuwache? (We tuendeleee!) Muda wetu Muda wetu wa kukimbia bili Aiyo woiyoo, aiyoo woyoo Wiyoo woiyoo, aiyo woiyoo, woiyoo wee Muda wetu Muda wetu wa kukimbia bili Aiyo woiyoo, aiyoo woyoo Aiyoo woiyoo, aiyoo woiyoo Uyeee! Woza! Woza! Woza! Woza! Ah jioni ya leo, leo leo Ah jioni ya leo, leo leo Hey ha! Tunafukuza chawa Chawa! Fukuza chawa, chawa Shika hapa, wapi? Hapa! Wee shika hapa, ah hapa Weze shika hapa! Wapi huko? (Hapa) Ah ah shika hapa wee, hapa! (Woza) Muda wetu Muda wetu wa kuvuta kitu kali Aiyo woiyoo, aiyo woiyoo Aiyo woyoo, aiyoo woyoo, woyoo weee Muda wetu Muda wetu wa kufanya kwenye gari Aiyo woiyoo, aiyo woiyoo Aiyo woyoo, aiyoo woyoo, woyoo weee Kimbia mbele, rudi nyuma We tikisa wezele (Yewe namaan!) Kimbia mbele, rudi nyuma We tikisa wezele (Yebo yey woza) Kimbia mbele, rudi nyuma We tikisa wezele (I see yah we namaan!) Kimbia mbele, rudi nyuma We tikisa wezele (Yewe namaan!) Kalala, nkalala kalala kalala Kalala nayo! Nkalala nkalala nkalala Kalala na-na-na! Kalala, nkalala kalala kalala Kalala nayo! Nkalala nkalala nkalala Kalala na-na-na! Leo leo, silali mwenyewe (Usikunywe pombe zangu wee) Leo ntalala na wewe (Aiii chii!!) Leo leo, silali mwenyewe (Usikule hela zangu) Leo ntalala na wewe Woza! Woza! Woza! Woza! Woza! Woza! Woza! Woza! Ah jioni ya leo, leo leo Ah jioni ya leo, leo leo Hey ha! Tunafukuza chawa Chawa! Fukuza chawa, chawa Cheza cheza (Cheza) Cheza cheza (Cheza) Cheza cheza (Cheza) Cheza cheza (Cheza) (It's S2kizzy baby)
Writer(s): Oscar John Lelo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out