Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Adasa
Adasa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Adasa
Adasa
Songwriter

Lyrics

Mmmmhhhh ieyee yeeye
emmy dee made it mmhhh
walisema hautaisha mwakaa ntapotea ntachakaa
Wakasema Eti Sina maana tenaaaa
Wengine waliungana pamojaa aaaah wakanichamba
Wakisema eti sina nyotaaaaa tenaaaa aaah mmmhhh
Walisahau Mungu yuko Neno lake la mwisho ndilo linalo uzito uoo
Walisahau Mungu yuko Neno lake la mwisho ndilo linalo uzito
La Mwisho Lake ni
Mimchaguliwa Mimchaguliwa
Na nimebarikiwa
La Mwisho Lake ni
Mimchaguliwa Mimchaguliwa
Na nimebarikiwa
mhmmm mmm uhmmm
Nahisi kama Nyota yang\'aaa teeeeena
Teeeena inapendeza sanaaa inameremeeta eeeeh!
Na imeandikwa amebarikiwa mtu yule mteule anayemtegema tu yeye\"
mteule mtu yule anayemtegemea tu yeye
mhmmm mmm
Walisahau Mungu yuko Neno lake la mwisho ndilo linalo uzito oooh
Walisahau Mungu yuko Neno lake la mwisho ndilo linalo uzito
La Mwisho Lake ni
Mimchaguliwa Mimchaguliwa
Na nimebarikiwa
La Mwisho Lake nii
Mimchaguliwa Mimchaguliwa
Na nimebarikiwa
Lamwisho lake nii
Talk to Him chila siku To Him believe in him ye Mulungu in Him
Talk to Him chila siku To Him believe in him ye Mulungu in Him
aaawh aeeh aeeeeh aeeh aeeeeh
La Mwisho Lake ni mi Mchaguliwa mi mchaguliwa na nimebarikiwa
La Mwisho Lake niiiiiii
mchaguliwa mi mchaguliii mchagu mchaguliwa aeeh aeeeeh emmy dee
Written by: Adasa
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...