Credits
PERFORMING ARTISTS
Shanariha Evans
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Shanariha Evans
Songwriter
Lyrics
There’s something, something about music,
I can’t deny it, I can’t deny it.
Something about it, I can’t deny it, I can’t deny it
Ina raha tele, vaibu tele,
nai nai enjoy, nai nai enjoy
Ina raha tele, vaibu tele, nai nai enjoy, nai nai enjoy
Medicine mziki ni medicine
Medicine mziki ni medicine
Medicine mziki ni medicine
Medicine mziki ni medicine
Ni medicine, nina chemistry
I have made my confession, ukitumia falsetto
Nitakua mkubwa, niimbie taifa
Wajue napenda mziki
Sitawacha kuimba, natumia talanta
Wajue napenda mziki
Music is my calling
There’s no playing with it
Depression defeated
Celebration is all we need
Medicine mziki ni medicine
Medicine mziki ni medicine
Medicine mziki ni medicine
Medicine mziki ni medicine
Songa pole pole songa
Tuzikwende songa songa songa
Songa pole pole songa
Tuzikwende songa songa songa
Medicine mziki ni medicine
Medicine mziki ni medicine
Medicine mziki ni medicine
Medicine mziki ni medicine
Written by: Shanariha Evans