album cover
Kaniacha
1,076
Afro-Beat
Kaniacha was released on April 20, 2023 by Daway (Tz) as a part of the album Kaniacha - Single
album cover
Release DateApril 20, 2023
LabelDaway (Tz)
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM89

Music Video

Music Video

Lyrics

No no noo, mmmh naah aya ya yaya,
Nishafunga na kusali, Imani ikadunda eenh,
Sikuishia hapo nikaongeza na njiazangu zingine,
Kwa waganga wa mbaali, Safari nishafunga mie,
Nimroge anipende mimi asiwaze wengine,
Enh enh,
Kama ni majani mapenzi hayajaota kwangu,
Alidhania ataniafaidisha akinipenda mimi,
Na kwake sikomi japo kablock namba zangu,
Kanisusia, asipopokea, Napiga na nyingine,
   Machoni nina machozi,usoni nina simanzi,
   Sijalala nina mwezi,Ye mwenzangu hawazi,
   Wapi wanauza vitanzi, Mapenzi yananiudhi, Kwake vigezo sijakidhi, Ndo maana Kaniacha mimi, ayayah
Kaniacha, Kaniacha,Kaniacha na ye ndo darling,
Kaniacha, Kaniacha, Kaniacha hii sio saawa,
Nakubalii aende,Ila aendako akikutwa na ubaya,
Arudi kwangu, Maana atanikuta nipo,
Ka mshale wa sekunde,Kwangu dakika kapita vibaya,
Ahojiwe yeye endapo nikipatwa na kifo,
Oona,Kakitingisha kiberiti,Kachoma miti,
Moyoni kanidelete, Eti sifit,
Kanivisha uibilisi kwenye list sina baya yayah,
Mbaya zaidi nammiss hanitoki,
Mema yangu hakumbuki,Katema shit,
Samaki kakata mshipi haikua riziki kiroho mbaya yayah,
Machoni nina machozi,usoni nina simanzi,
   Sijalala nina mwezi,Ye mwenzangu hawazi,
   Wapi wanauza vitanzi, Mapenzi yananiudhi, Kwake vigezo sijakidhi, Ndo maana Kaniacha mimi, ayayah
Kaniacha, olo lo lolo,
 Kaniacha,huyu yuyu,
Kaniacha na ye ndo darling,
Taabani iii iiii
Kaniacha, aaanh anh
 Kaniacha, aya ya ya yah
Kaniacha hii sio saawa,
Hii sio sawa
Written by: ALISTIDES HERMAN
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...