Credits
PERFORMING ARTISTS
Centano
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Innocent Lucas
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Centano
Producer
Lyrics
[Chorus]
Nilitoka home, nikienda town
Sikuja kusaka ndugu aisee
Mishe, mishe zangu mtaani
Ndo zinafanya nasurvive everyday
Nilitoka home, nikienda town
Sikuja kusaka ndugu aisee
Mishe, mishe zangu mtaani
Ndo zinafanya nasurvive everyday eeh
[Verse 1]
Nimezaliwa hustler, nimezaliwa fighter
Na ndoto nyingi sana na sipaswi kuwa hapa
Nilishavunja switch ya kukatia tamaa
Wachawi wanafiki wanatuombea tufe njaa
Oya yaaa
[PreChorus]
Bora rafiki mmoja anayekusaidia
Kuliko ndugu mia aah oya yaa
Mabonde na milima mwanangu tumepitia
Mi nakufagilia aaah oya yaa
[Chorus]
Nilitoka home, nikienda town
Sikuja kusaka ndugu aisee
Mishe, mishe zangu mtaani
Ndo zinafanya nasurvive everyday
Nilitoka home, nikienda town
Sikuja kusaka ndugu aisee
Mishe, mishe zangu mtaani
Ndo zinafanya nasurvive everyday eeh
[Verse 2]
Kwanza kabisa nikiamka naomba blessing (Asante baba, asante baba)
Umeniepusha na hizi stress za mapenzi (Niende kusaka, niende kusaka)
Watoto wa mtaa hatuendeshwi na jua kuzama (Haturudi home mpaka kieleweke)
Neno kufeli tumefuta hatukati tamaa
Kesho ipo
[PreChorus]
Bora rafiki mmoja anayekusaidia
Kuliko ndugu mia aah oya yaa
Mabonde na milima
Mi nakufagilia aah oya yaa
[Chorus]
Nilitoka home, nikienda town
Sikuja kusaka ndugu aisee
Mishe, mishe zangu mtaani
Ndo zinafanya nasurvive everyday
Nilitoka home, nikienda town
Sikuja kusaka ndugu aisee
Mishe, mishe zangu mtaani
Ndo zinafanya nasurvive everyday eyy
Written by: Innocent Lucas

