Credits

PERFORMING ARTISTS
Centano
Centano
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Innocent Omary
Innocent Omary
Songwriter

Lyrics

[PreChorus]
Nimekuwa na wapenzi walionisaliti
Nikawa na marafiki wanafiki
Nimeishi na ndugu ambao hawapendi
Kuona nikipata
[Chorus]
Bora peke yangu uuh
Bora peke yangu uuh
Bora peke yangu uuh
Bora peke yangu uuh uuh
[Verse 1]
Wengi tuliwaacha tukiwa bado tunawapenda
Ili kuruhusu waende huko wanapokwenda
Na sio kama tunapenda
Visa na usafiri mpaka moyo uka surrender eeh
[Verse 2]
Na dedicate moyo kwenye hustle
Mama ananiombea na mungu ananiona
Wanapolala sisi tuko macho
Haya mateso iko siku yatakoma
[Refrain]
Sina chuki sina wivu
No nimeshajichunguza
Tatizo napenda sana
Najali sana, napunguza ooh
[PreChorus]
Nimekuwa na wapenzi walionisaliti
Nikawa na marafiki wanafiki
Nimeishi na ndugu ambao hawapendi
Kuona nikipata
[Chorus]
Bora peke yangu uuh
Bora peke yangu uuh
Bora peke yangu uuh
Bora peke yangu uuh uuh
[Verse 3]
Kipi sijafanya kwenye love
Nimeshalia sana kwenye love
Nimekataa wengi, nimepunguza wengi
Nimejifunza menage kwenye love
[Verse 4]
Kipi sijafanya juu ya love
Nimeshalia sana juu ya love
Nimeshahonga wendi, kapigana na wengi
Nimejifunza menage kwenye love
Bora pekeyangu mi na Mungu juu
Bora peke yangu mi na ndugu tuu
Bora peke yangu mi na family
Na marafiki wachache wanaonielewa
[Refrain]
Sina chuki sina wivu
No nimeshajichunguza
Tatizo napenda sana
Najali sana, napunguza ooh
[PreChorus]
Nimekuwa na wapenzi walionisaliti
Nikawa na marafiki wanafiki
Nimeishi na ndugu ambao hawapendi
Kuona nikipata
[Chorus]
Bora peke yangu uuh
Bora peke yangu uuh
Bora peke yangu uuh
Bora peke yangu uuh uuh
Written by: Innocent Omary
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...