Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Young Killer
Young Killer
Vocals
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Young Killer
Young Killer
Songwriter
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Songwriter
Eriki Msodoki
Eriki Msodoki
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Producer
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer
Siraju Khamis Amani
Siraju Khamis Amani
Producer

Lyrics

Kwanza kako sexy (Pamela) Kiuno kama kazaliwa Congo Ebu ni ka date (Pamela) Mikogo kama samaki kamongo Chumbani ni karate (Pamela) Vurugu kama show za Manfongo Navopenda deki (Pamela) Ulimi shingoni mpaka kwa mgongo (Eeeh) Katoto katamu tamu Kanapenda pipi na chewing gum (Anhaa!) Kimoko nacum cum Kitanda kwichikwichi Ni Bum Bum (Anhaa!) Eeh! Oh najua maana ya penzi burudani Na ndio maana nakupa kokote Singoji mpaka kitandani Aaaah yeah! (Pamela) Oooh! Oh! Oh! (Pamela) She is hotter than fire (Pamela) Ukimuona utagwaya (Pamela) Zigo lazima ntafire (Pamela) Na kapenda ile mbaya (Pamela) Aiiiy!! Eeh my heart ooh! She de skata my heart ooh! (Pamela) Eeh my heart ooh! Kanaumiza my heart ooh! Eeh my heart ooh! She de skata my heart ooh! Pamela! Eeh my heart ooh! Kanaumiza my heart ooh! Nilikutana nako Mbagala Kwa kina Lufufu Mkandala Mtoto mwali kidandala Mtamu kwa nguna na sangala Ooooh naa! Anavyopose mchokozi Nikiwa namwaga dose Napocheza na ngozi Hunikosi (Pamela) Mpaka majonzi kwa njozi Utamu kwa utosi Sinaga ubitozi Ni konzi (Pamela) Oh najua maana ya penzi burudani (Ooh! oh!) Na ndio maana nakupa kokote Singoji mpaka kitandani Eeeeh yeah! Pamela! (Pamelaa) Oooh! Oh! Oh! (Pamela) She is hotter than fire (Pamela) Ukimuona utagwaya (Pamela) Zigo lazima ntafire (Pamela) Ooh nakapenda ile mbaya (Pamela) Huh! Mwenye mdomo wa kulamba koni Napozi za picha Na moyoni nimekuficha Picha ya mapicha picha Wazushi wanayonipa nipa Hayaumizi kichwa kichwa Wala kunitisha Usije nikatisha mood (Mood) Kwa kufanya kusudi (Kusudi) Ukaanza tena usiku na mchana Ma nenda rudi (Rudi mama) Kifuani sita, tumbo hauna Na ukikatika Ndio kabisa Naumwa (Heheheh) Njoo tucheze kibaku baku (Pamela) Tuwakomeshe manyaku nyaku (Pamela) Ukate taratibu yani nyatu nyatu (Pamela) Kitandani unimeze ile kichatu chatu Sikufichi namiss kumuchezo kako kila mara
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Eriki Msodoki Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out