Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Innoss'B
Vocals
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuchu
Songwriter
Abdul Hamisi Mtambo
Songwriter
Zuhura Othman Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
S2Kizzy
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Kebo na bise elinge banda (Esie bandi)
Kebo na mbiso bayuma bakota kate (Esie kota bakoti)
Haa, cababwe (Eeh) cababwe na katya buletin
Soda (Eeh) soda (Mundu kyakaka)
[Verse 2]
Nabeka dajuma naguzi babeti boteka (Babudeka shee)
Nakena mabono na money babeti boteka (Baboi shashee)
Bomba, bomba, bomba sukari bomba
Bomba eeh, bomba butamu
Mama lobagi (Yekolako lukabwona)
[Chorus]
Eeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi naweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasema mimi naweza kulicheza sagarumba
Mafta taa, mafta taa, mafta taa aah
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagikaa
Mpaka chini, mpaka chini, mpaka chinii
[Verse 3]
Aamina, Amina na Mwajuma
Wanaringa hawa kima
Kumbe wanauza (Usiseme hivo)
Kilode, kilode, kilodee
Watoto wadogo wanataka nipotee
Haa! Labda nifukiwe chini wala wasiwaongopee
Hee! Shindo langu mimi mjikusanye wote
[Bridge]
Haya sema shkamoo dada (Shkamoo dada)
Shkamoo kaka (Shkamoo kaka)
Shkamoo mama (Shkamoo mama)
Shkamoo baba (Shkamoo baba)
Aluule aluluee (Alule alulee)
[Verse 4]
Ukiona hachezi mzabue (Tumzabue, tumzabue)
Sema alulue aluluee (Alulue aluluee)
Haa! Kama mtu hachezi tumtoe (Tumtoe, tumtoe)
[Chorus]
Eeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Aah twende
[Chorus]
Mafta taa, mafta taa, mafta taa (Yana ninii)
Yamemwagika, yamemwagika, yamemwagikaa (Eti mpaka wapi)
Mpaka chini, mpaka chini, mpaka chinii (Mamaa)
Written by: Abdul Hamisi Mtambo, Zuchu, Zuhura Othman Soud


