Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mr. Nobody Tz
Mr. Nobody Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Noel Visent
Noel Visent
Songwriter

Lyrics

Sun v on the beat
Aaah
Mr Nobody
Shii
Aaah weee, Bora Uende zako, nikobize bhana ,stak mbwembwe zako
Aah wee Bora Uende zako, SI ulisepa bhana , umeacha nini chako
Ni onyo ,acha zako , nimekusahau tuma picha zako ,
Ah mmh no , staki Tena ng\'o ,punguza spidi Niko na mwenzako.
Insta kunitag mara kunipost ,ndio nini ?, staki
Kila wakikuhoji et my ex , wanani ?, staki
Walikudanganya kisa pesa ukaondoka ,nani atakutaka na jinsi ulivyochoka
Ukanitukana et ninashoboka ,nilipobembeleza daah alaf ulicheka
Nini unataka taka , nini unataka , eeeeh
Nini unataka taka ,nini unataka , SI useme
Nini unataka taka ,nini unataka , eeeh
Nini unataka taka ,nini unataka , SI useme
Aaah weeh , Bora Uende zako, nikobize bhana staki mbwembwe zako
Aaah weee Bora Uende zako, SI ulisepa bhana, umeacha nini chako
Mh
Kibe kibega staki , mh mh aka staki
Kibe kibega staki , mh mh aka staki
Kibe kibega staki, mh mh aka staki
Kibe kibega staki, mh mh aka staki
Mara unabipbip hasa majira ya usiku , staki usumbufu katu SI ulishapata mtu
Mara unabipbip hasa majira ya usiku, staki usumbufu katu SI ulisema unamtu
Si ulitaka Bata ,ukaliwa Bata ,mifupa nje nje nje
SA wamekuacha ,umepukutika kwanza kapime
Oya weeh hebu chunga vipicha kujitumisha ,
Nilikupendea nini daah ama uliniroga
Nini unataka taka, nini unataka eeeh
Nini unataka taka, nini unataka, SI useme
Nini unataka taka, nini unataka ,eeeh
Nini unataka taka, nini unataka, SI useme
Aaah weee Bora Uende zako, nikobize bhana staki mbwembwe zako
Aah wee Bora Uende zako SI ulisepa bhana umeacha nini chako
Mix
Relax
Written by: Noel Visent
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...