album cover
Leo (feat. Harmonize)
album cover
Leo (feat. Harmonize) was released on December 6, 2024 by Harmonize Entertainment Limited as a part of the album Air Piano
December 6, 2024
LabelHarmonize Entertainment Limited
BPM111
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Sina chambi
Nacho amini ipo siku ntazipata najua
Ogopa dhambi
Shukuru Mungu kwa pumzi unayopumua
Siku hazigandi
Nacho shukuru siku hizi wanafki wamepungua
Uongo dhambi
Sote tunajua, tunajua dunia ni kambi
Na maisha ni hatua kwa hatua
Ukimind mind
Ikipangwa huwezi pangua kupangua
[PreChorus]
Kabla ya chochote lolote eh Mungu kwanza
Na tukipata tunashukuru Mungu kwanza
Oya popote kivyovyote eh eh
Mungu wa kwanza
Na tukikosa hatukufuru Mungu kwanza
[Chorus]
Ooh ooooh oh naishi leo siishi jana
Ooh anayepanga kesho Maulana
Ooh ooooh oh naishi leo siishi jana
Ooh anayepanga kesho Maulana
[Verse 2]
Mitaa imenifanya niwe konde
Napendwa ninenepe nikonde
I don't fear them
Simuogopi mwenye kisu
Maana Mungu wangu anapanga
Hata wakifanya figisu bure
Hunioni kwa waganga
Konde gang chama lenu
Hili goma kwa ajili yenu
Wengine wote bebe zenu
Ila Kajala ndio mama yenu
Eti sifanikiwi
Mara ooh ex harudiwi
Shida nikishavuta mi kiziwi
Nikishamoka mi kiziwi
[PreChorus]
Kabla ya chochote kwa lolote Mungu kwanza
Tukipata tunashukuru Mungu kwanza
Popote kivyovyote Mungu kwanza
Tukikosa hatukufuru Mungu kwanza
Amen
[Chorus]
Naishi leo siishi jana
Ooh anayepanga kesho Maulana
Ooh ooooh oh naishi leo siishi jana
Ooh anayepanga kesho Maulana
[Outro]
Konde boy call me number one
Chingaa
Konde music worldwide
Written by: Ibrahim Abdallah Nampunga, Rajabu Abdulkahali Ibrahim
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...