album cover
Barua
4,112
World
Barua was released on June 5, 2023 by IMUH as a part of the album Barua - Single
album cover
Release DateJune 5, 2023
LabelIMUH
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM160

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Imuh
Imuh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Mwambogoso
Ibrahim Mwambogoso
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Terriyo Monster
Terriyo Monster
Producer

Lyrics

Onana nana nana nana ee
Imuh
Simu yako ya kwanza ulinipigia
Nikiwa tungi na wana nalewa
Nikapokea nikakufokea
Sikukusikiliza nikakukatia
Sijui nini ulitaka ongea
Najuta why sikukusikia
Narudi home nakuta barua
Nawew umejilaza huwezi pumua
Ghafla pombe zinatoka kichwani
Natingisha mwili nakuita honey
Povu linatoka mdomoni
Pembeni nakuta na vidonge chini
Akili inarudi nakumbuka barua
Nijue uliandika nini kabla ya kujiua
Nasoma barua nanyong’onyea
Nachozi yanatoka yanaangukia barua
Mola rudisha siku nyuma kidogo
Niseme japo samahani
Mola rudisha siku nyuma kidogo
Najiuliza kwanini mimi
Mola rudisha siku nyuma kidogo
Nilikumbwa na kitu gani
Mola rudisha siku nyuma kidogo
Molaa
Kwenye barua aliandika
Alinipigia anipe taarifa
Kwamba mimba yangu amebeba
Hivyo nitarajie kuitwa baba
Yale matusi na kumnyanyapaa
Vilimvunja moyo akakata tamaa
Akaona kama angezaa
Mwanae angekosa baba bora
Vile nyumbani sirudi
Mlevi mbwa
Akiuliza nini naishia kumpiga
Yani hata simtunzi
Namburuza
Kwa michepuko pesa zote namaliza
Kuliko azae aje ateseke
Bora anywe sumu ili wafe wote
Amejitahidi sana ili nimpende
Imeshindikana bora yee aende
Japo fugua macho nione
Mola rudisha siku nyuma kidogo
Nimejutia mwenzako nataman niseme nisamee
Mola rudisha siku nyuma kidogo
Ndo umeondoka na mwanangu mrithi wangu mimi
Mola rudisha siku nyuma kidogo
Oooh oooh oooh
Mola rudisha siku nyuma kidogo
Ooh mama mama mama ooh mama
Rudisha siku kidogo kidogo
You can call me zuzu
Written by: Ibrahim Mwambogoso
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...