album cover
Ukilala
801
Afro-Pop
Ukilala was released on February 8, 2025 by IMUH as a part of the album Ukilala - Single
album cover
Release DateFebruary 8, 2025
LabelIMUH
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM179

Credits

PERFORMING ARTISTS
Imuh
Imuh
Piano
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Mwambogoso
Ibrahim Mwambogoso
Songwriter

Lyrics

Ooh nana nana nana eeh! Imuh
Sauti Yako inaonyesha kuchoka,
Majibu Yako uanaonyesha kunikatia tamaa,
Ayoh ayoh
Ama unazani huku nilipo mambo yameenda sawa,
Labda unazani nimevunja kiapo tulichopanga mamaah!
Sio Ivo ooh,
Japo siku zinakimbia kinoma,
Nipo kama nilivo,
Mpaka kurudi nyumbani naona noma,
Sina jinsi tuuh
Ila ukweli nimekumiss sana mama,
Ningekuleta huku,
Tuje kuishi sote ila chochote Sina,
 
Ntapata Rana, kama nikifanikiwa nikakusahau,
We usiku na mchana niombee Dua Mungu afanye angalau
Hello....
Ukilala lala salama, kumbatia picha yangu,
Kama ukinikumbuka sana nipigie simu yangu
Ukiii,
 Ukilala lala salama,
(Uwoo),
 kumbatia picha yangu,
 (matatizo)
Matatizo chuki lawama,
 (uwouwo)
Vumilia mpenzi wangu ........
Salio langu soon linakata,
Salio lenyewe la kukopa,
Ila week hii haitopita,
Kuna muamala kwenye simu nadomdoshaaaah
Chunga mzinga wangu,
Ujaze nyuki walinde asalii,
Wanaokutamani mama mlungi wakae mbali iih iih,
Wala Sina mwingine we ndo changu changama,
(Changama)
Wasije kurubuni ukaniacha mazima aah,
(Mazimaaah)
Sina jinsi tuuh
Ila ukweli nimekumiss sana mama,
Ningekuleta huku,
Tuje kuishi sote ila chochote Sina,
 
Ntapata Rana, kama nikifanikiwa nikakusahau,
We usiku na mchana niombee Dua Mungu afanye angalau
Hello...
Ukilala lala salama,
(Ukilala)
 kumbatia picha yangu,
(Aahaah)
Kama ukinikumbuka sana
(Nipigie)
 nipigie simu yangu,
(Wee ukilalaaah)
 Ukilala lala salama,
(Uwoo),
 kumbatia picha yangu,
 (matatizo)
Matatizo chuki lawama,
 (Aahaah)
Vumilia mpenzi wangu ........
(Vumilia mpenzi wangu, vumilia uwo uwoo!
Isa yambata aah,
Kwani BAGGA una nino,
you can call me ZuZu!)
Written by: Ibrahim Mwambogoso
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...