Lyrics

Unipae afya mifupani mwangu Ninakuamini, ninakuamini Nimekujua na nimekuona Ninakuamini, ninakuamini Unipae afya mifupani mwangu Ninakuamini, ninakuamini Nimekujua na nimekuona Ninakuamini, ninakuamini Tumaini langu ni wewe tu, ni wewe tu Msaada wangu ni wewe tu, ni wewe Kimbilio langu ni wewe tu, bwana ni wewe Mungu wangu ni wewe tu, ni wewe tu Unipae afya mifupani mwangu Ninakuamini, ninakuamini Nimekujua na nimekuona Ninakuamini, ninakuamini Tumaini langu ni wewe tu Msaada wangu ni wewe tu Kimbilio langu ni wewe tu Mungu wangu ni wewe tu Japo machozi yananitiririka Ila acha yatoke yasafishe macho Ili nikuone wewe tu, wewe tu Wewe tu, nikuone wewe tu Nikujue wewe, zaidi Kupitia haya, zaidi Nikujue wewe, zaidi Wewe unipae ... Unipae afya mifupani mwangu Ninakuamini, ninakuamini Nimekujua na nimekuona Ninakuamini, ninakuamini Unipae afya mifupani mwangu Ninakuamini, ninakuamini Nimekujua na nimekuona Ninakuamini, ninakuamini Msaada wangu ni wewe tu Kimbilio ni wewe tu Mfariji wangu ni wewe tu Msaada wangu ni wewe tu Mfariji wangu ni wewe tu Wewe tu, wewe tu Nitakuona wewe tu, wewe tu Kanisani nitakuona wewe tu Nimekujua na nimekuona Nimekuamini, nimekuamini
Writer(s): Joel Lwaga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out