Music Video

JOEL LWAGA - NAFASI NYINGINE (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joel Lwaga
Joel Lwaga
Songwriter

Lyrics

Difficult but very possible... Mmh... Mmh... Mmh... Mavumbi umenifuta yote Habari umebadili yote Machozi umenifuta yote Aibu umeondoa yote Mmh... Umeniita mwana Niliyekuwa mtumwa Umenisimamisha katika wingi wa neema Na umeniketisha mahali pa juu sana Ninaucheka wakati uliopita Nikiufurahia ule ujao Ninaucheka wakati uliopita Nikiufurahia ule ujao Maana umenipa Nafasi nyingine Umenipenda tena bila kukoma Nafasi nyingine Neema yako imeniinua tenah Nafasi nyingine Umenipa tena bila kuchoka Nafasi nyingine Mungu wa neema (wa neema) Ahaaaaa. wa neema(uuuuh wa neema) aaaaah Wa neema(wa neema) aaaah wa neema (wa neema) aaaaah Madaktari walisema sitapona tena Walimu walisema nitafeli Ndugu na jamaa walisema nimeshindikana Na kumbe wewe waniwazia mema Umri uliposogea walisema ndoa sio fungu langu Nilipofiwa na mpendwa Yule walisema sitaweza tenah Baada tu ya kufilisika sikumwona wa kuniombea Na kumbe ndani yao walifurahia niliyopitia Ninaucheka wakati uliopita Nikiufurahia ule ujao Ninaucheka wakati uliopita Nikiufurahia ule ujao Maana umenipa Nafasi nyingine Umenipenda tenah bila kukoma Nafasi nyingine Neema yako imeniinua tenah Nafasi nyingine Umenipa tenah bila kuchoka Nafasi nyingine Mungu wa neema Wa neema Ahhaaa Wa neema Wa neema Ahaaaa. Wa neema Wa neema Ahhaaa Heeeeyy... Maana umenipa Nafasi nyingine Heeeey... Kweli umenipa Nafasi nyingine Mimi nisiyestahili Umenipa Nafasi nyingine Heeeey. Bwana umenipa Nafasi nyingine Mungu wa neema Wa neema Aaahh... Aaahh. Wa neema Heeeey. Wa neema Aaahh. Nashukuru Asante Neema Wa neema Aaaah. Wa neema End
Writer(s): Joel Lwaga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out