album cover
Kaa Nami
album cover
Kaa Nami was released on July 11, 2023 by Obby Alpha as a part of the album Kaa Nami - Single
July 11, 2023
LabelObby Alpha
BPM109
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Kaa nami ni usiku tena
Usiniache gizani Bwana
Msaada wako haukomi
Nili peke kaa nami
We Yesu
[Verse 2]
Kaa nami ni usiku tena
Usiniache gizani Bwana
Msaada wako haukomi
Nili peke kaa nami
Baba yangu wee
[Chorus]
Kaa nami, kaa nami
Kaa nami, kaa nami
Ee Yesu kaa nami
Baba usiniache
Kaa nami, kaa nami
Kaa nami, kaa nami
Ee Yesu kaa nami
Baba usiniache
[Verse 3]
Nilalapo, nikuone wewe
Gizani mote, nimulikiwe
Nuru za Mbinguni hazikomi
Siku tangu zote kaa nami
[Verse 4]
Baba nina haja nawe kila saa
Sina mwingine wa kunifaa
Mimi nitaongozwa na nani
Kama si wewe Bwana kaa nami
Kwa maana siku zetu hazikawii kuisha
Sioni la kunifurahisha
Hakuna ambacho hakikomi
Usie na mwisho kaa nami
Eeh Baba yangu wee
[Chorus]
Kaa nami ni usiku tena
Usiniache gizani Bwana
Msaada wako haukomi
Nili peke kaa nami
Baba yangu wee
[Chorus]
Kaa nami, kaa nami
Kaa nami, kaa nami
Ee Yesu kaa nami
Baba usiniache
Kaa nami, kaa nami
Kaa nami, kaa nami
Ee Yesu kaa nami
Baba usiniache
Written by: Obby Alpha
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...