album cover
Mseleleko
15
New Age
Mseleleko was released on July 13, 2023 by NBS STUDIO SINEMA as a part of the album Chura Ubanda
album cover
Release DateJuly 13, 2023
LabelNBS STUDIO SINEMA
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM154

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kibemela OG
Kibemela OG
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Ally Matope
Ibrahim Ally Matope
Songwriter

Lyrics

ooh wee kama uliona dili viela vyako si ungeenda ukajenge maana aliona kelo kauli zako ni bora adange wee kama uliona dili viela vyako si ungeenda ukajengee maana aliona kelo kauli zako ni bora adange
Oooh men usipende kitonga ooh men usipende mselelekoo wechunga kuna ajali utagongwaa ooh men usipende mtelemkoo
Oooh men usipende kitonga ooh men usipende mselelekoo wechunga kuna ajali utagongwaa ooh men usipende mtelemkoo
eti oooh mwenzanguu eti mwenzako nakupendaa tena usiniache peke angu maana ukiniacha ntakondaa jamani ooh mwenzangu mimi mwenzako nakupendaa tena usiniache peke angu maana ukiniacha ntakoonda
Mshamba unajuwa nini wee kwako ndo ashaona unajionaaa kwake mshamba piga chini wee tafuta bwana wakukushona eti mshamba unajuwa nini weee kwake ndio ashaona unajionaa kwake mshamba piga chini wee tafuta bwana wakukushonaaa aaa
         :CHORUS
ooh wee kama uliona dili viela vyako si ungeenda ukajenge maana aliona kelo kauli zako ni bora adange wee kama uliona dili viela vyako si ungeenda ukajengee maana aliona kelo kauli zako ni bora adange
Oooh men usipende kitonga ooh men usipende mselelekoo wechunga kuna ajali utagongwaa ooh men usipende mtelemkoo
ooh men usipende kitonga ooh men usipende mselelekoo wechunga kuna ajali utagongwaa ooh men usipende mtelemkoo
Wee mcheki demu wakichuya kajipula amependezaa mwenzako ana gharamia wemshamba kwako amefula kaja kwangu ninae juwa kupendaa maana mapenzi kugharamia.
Wee mcheki demu wakichuya kajipula amependezaa mwenzako ana gharamia wemshamba kwako amefula kaja kwangu ninae juwa kupendaa maana mapenzi kugharamia.
Oooh tena bosi huseni usimuone fala kuomba namba kuacha gari mapenzi yana raha Oooh tena koma mshamba nshakuona fala unaona nongwa muonga mwali oooh mapenzi balaa balaa balaaaaaaaa
Twende baa mguu kushoto kulia pale kati mbwii kimelia pana situwa kijoti Pana situwa kijoti Pana situwa kijoti pana situwa. ndani ya dela pana situwa kijoti Pana situwa kijoti Pana situwa kijoti dada wee Kalia dumu Safi tu hata ukikalia chupa pambe tuu dada Kalia dumu Safi tu hata ukikalia chupa pambe tu Kalia dumu Safi tu hata ukikalia chupa pambe tu.
Written by: Ibrahim Ally Matope
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...