album cover
Tupendane
1
New Age
Tupendane was released on July 13, 2023 by NBS STUDIO SINEMA as a part of the album Chura Ubanda
album cover
Release DateJuly 13, 2023
LabelNBS STUDIO SINEMA
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM165

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kibemela OG
Kibemela OG
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibrahim Ally Matope
Ibrahim Ally Matope
Songwriter

Lyrics

Aa aaa aaaa aaaaa
Wasicho kijuwa mimi mungu amenijaliaa na wasicho elewa ya kwamba nime barikiwa
poleni nyiee mnao nitukana mieee aaah yani nyiee mnajisumbuwa
Wasicho kijuwa mimi mungu amenijaliaa na wasicho elewa ya kwamba nime barikiwa
poleni nyiee mnao nitukana mieee aaah yani nyiee mnajisumbuwa
Oya wanangu tupendane tupendane mama wanangu tushibane tushibane jamaaa wanangu tupendane tupendane mamaa wanangu tushibane tushibane jamaaaaa
Sasa natuma salamu ziwa fikiee mziki kipaji ukweli niwaambie na bila nizamu mtafeli nyie inaitaji utimamu njiani msiishie
Sasa natuma salamu ziwa fikiee mziki kipaji ukweli niwaambie na bila nizamu mtafeli mjue inaitaji utimamu njiani msiishie
Oya wanangu tupendane tupendane mama wanangu tushibane tushibane jamaaa wanangu tupendane tupendane mamaa wanangu tushibane tushibane jamaaaaa
eti waki niona wana kunja mama wana ninunia maneno kwa bosi wanaongea sana wana kanyagiaa.
eti waki niona wana kunja mama wana ninunia maneno kwa bosi wanaongea sana wana kanyagiaa.
Siku hizi hata simu hawa nipigii zile sifa za mwanzo mimi sizi sikiii hadi najiuliza hawa vipi ama ndio plesha imewapanda ipo juu bipiiii.
Siku hizi hata simu hawa nipigii zile sifa za mwanzo mimi sizi sikiii hadi najiuliza hawa vipi ama ndio plesha imewapanda ipo juu bipiiii.
Basi twende nikienda naenda nao wanangu wanangu wanangu Pacheko nikienda naenda nao wanangu wanangu wanangu oooh jamani nikienda naenda nao wanangu wanangu wanangu ooo tena nikirudi narudi nao wanangu wanangu wananguuu
Apo vipi apo powaaaaa apo vipi apo powaaaa apo vipi apo powaaa apo vipi hapo powaaaa
Written by: Ibrahim Ally Matope
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...