album cover
Anaweza
album cover
Anaweza was released on July 28, 2023 by Ben Cyco as a part of the album Anaweza - Single
ReleasedJuly 28, 2023
LabelBen Cyco
BPM87
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Intro]
Mungu wa Cyco
Anaweza, anaweza
[Verse 1]
Mungu wetu anaweza
Kutuokoa kwa tanuri liwakalo na moto
Anaweza kutengeneza njia jangwani na mito
Anaweza na asipotenda sitaabudu sanamu
Sitaabudu miungu mingine
[PreChorus]
Ka ni kuzama heri nizame na wewe
Kuliko nifanikiwe nikiwa mimi mwenyewe
Ka ni hasara heri nipate na wewe
Kuliko nifaidike na miungu mingine
[Chorus]
Anaweza, anaweza, anaweza weza eh
Yesu nimwaminie, anaweza chochote
Anaweza, anaweza, anaweza weza eh
Yesu nimwaminie, anaweza chochote
[Verse 2]
Katengeneza njia jangwani
Katengeza njia mitoni
Mbona nikushuku wewe
Na jua linapopambazuka asubuhi
Na linapotua jioni Yesu we usifiwe
Usifiwe eh, eh
[Chorus]
Anaweza, anaweza, anaweza weza eh
Yesu nimwaminie, anaweza chochote
Anaweza, anaweza, anaweza weza eh
Yesu nimwaminie, anaweza chochote
[PreChorus]
Ka ni kuzama heri nizame na wewe
Kuliko nifanikiwe nikiwa mimi mwenyewe
Ka ni hasara heri nipate na wewe
Kuliko nifaidike na miungu mingine
[Chorus]
Anaweza, anaweza, anaweza weza eh
Yesu nimwaminie, anaweza chochote
Anaweza, anaweza, anaweza weza eh
Yesu nimwaminie, anaweza chochote
Written by: Ben Cyco, Brandon Israel Otieno

Loading...