Lyrics

Wenye walisema hatuendi mbali Hapa ni wapi Hapa ni wapi Mwalimu wa Math ulisema siwezi enda mbali Aiii Papii Yeah, Odi wa Murang'a Mode wa Mao Yeah yeah Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi Kwa Bar Mzinga ni ngapiii Mzinga kadhaa Mode wa Mao Yeah yeah Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi Kwa Bar Mzinga ni ngapiii Mzinga kadhaa Hapa mahali imefika Bado inazama mto Mtoto wa mode wa mao ah Nachora saba vi Viboko ulitupiga Zinamrambaa ah Akina Kevo wanamkulia shamba finger Licking knees finger Licking sweet finger Licking chuom me na ua ua Dem yako hukuita hunny mi kwake maua Ulikuja nini kwa sahani ni jaba najua Ati soft cart skin na yangu haivai bra Na yangu hukua job kulshinda mode wa math Inang'aa inachafuka inang'aa da da Na ni long kushinda ticki ya manzi wa Kibra Mode wa Mao Yeah yeah Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi Kwa Bar! Mzinga ni ngapiii Mzinga kadhaa Mode wa Mao Yeah yeah Alisema hatuendi mbaali hapa ni wapi Kwa Bar Mzinga ni ngap Mzinga kadhaa Odi wa Murang'a Sikuizi me ukule kile nadai walai teacher Sikuizi me hushindaga ndani ya ndai nkizunguka Sikuizi adi landi uniitianga fom namzungusha Sikuizi adi nikichomanga kindom siezi ficha Niko so so ahead of my time Huwezi nieka bro zone unanipotezeanga time Size ya Mr. Mburu, ye hutext kila time Sikupenda mao juu ya kufloat kila time Is a lie is a lie is a lie walai teacher Am fine am fine am fine sikuteseka Is a lie is a lie is a lie walai teacher Am fine am fine am fine sikuteseka Mode wa Mao Yeah yeah Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi Kwa Bar! Mzinga ni ngapiii Mzinga kadhaa Mode wa Mao Yeah yeah Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi Kwa Bar Mzinga ni ngapiii Mzinga kadhaa Hii hema hii hema Dem akona big denda big denda Acha niwape cinema cinema Saa tano mchana na bado mimi sijatema Cheki, penye tumetoka huwezi guess ni wapi but Penye tumefika unaeza tell ni wapi Kwa Bar! Mzinga zinadedi ka ni ajali Skiza Neo kwanza venye anabonga kilami Nonsense Mode nilimpata kama amezima Kapoteza macho akadhani hakuna stima Sikuizi zabe kazi ni kuririma Kuamka kungara na kuchoma liver Mode wa Mao Yeah yeah Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi Kwa Bar! Mzinga ni ngapiii Mzinga kadhaa Mode wa Mao Yeah yeah Alisema hatuendi mbaali, hapa ni wapi Kwa Bar Mzinga ni ngapiii Mzinga kadhaa
Writer(s): Francis Macharia Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out