Lyrics

Na nikifika, unajua masaa Nikirusha unapapasa Na nikiitisha we harakisha Na niki— na niki— Na nikifika, unajua masaa Nikirusha unapapasa Na nikiitisha we harakisha Na niki— na niki— na niki— Na nikikuita utaitika Tusisumbuane juu hujafika Na waiter show tunapima Nje ya Molly's na bad zijashika (Bado) Becky with the good hair, okay Kabaya big bum bum, oh hey Tuko jing tunacheza ma Lojay Ukiwasha patia yule sanse My baby my lover Mapenzi undercover (Hush hush) Na ye huwonder Kama kuna another (Ni true) Jing tangu jana Sitemi sitawacha (No no) Budget ndio blunder So dishi kwa kibanda Na nikifika, unajua masaa Nikirusha unapapasa Na nikiitisha we harakisha Na niki— na niki— na niki— Na nikifika, unajua masaa Nikirusha unapapasa Na nikiitisha we harakisha Na niki— na niki— na niki— Mi hupendanga machali tu fulani ah jangili Ukichapa bare jamo iko bubbly bubbly Zikishika utachizi na mangoma za Jabidi Namuua na mastingo, andele andele Boychild anadai nimpatie ka family Kama Kabi na Milly, tutoi tuhappily Mi si dem wa kusettle, ma dream si reality Kula kitu hungry hungry My baby my lover Mapenzi undercover (Hush hush) Na ye huwonder Kama kuna another (Ni true) Jing tangu jana Sitemi sitawacha (No no) Budget ndio blunder So dishi kwa kibanda Na nikifika, unajua masaa Nikirusha unapapasa Na nikiitisha we harakisha Na niki— na niki— Na nikifika, unajua masaa Nikirusha unapapasa Na nikiitisha we harakisha Na niki— na niki— na niki—
Writer(s): Mitchelle Wambui Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out