Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
MABANTU
MABANTU
Performer
Navy Kenzo
Navy Kenzo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Navy Kenzo
Navy Kenzo
Songwriter
Twarha Kanengo
Twarha Kanengo
Songwriter
Mwarami kajonje
Mwarami kajonje
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gachi B
Gachi B
Producer

Lyrics

Usione tuna furaha kinoma maana Mwanzo haikuwa rahisi(so long) Usione tunalewa kinoma maana Mwanzo haikuwa rahisi,Gachy B(Gachy B) Usione tunapendana kinoma maana Mwanzo haikuwa rahisi(Si wanapenda kubang) Usione bata tunakula bata mwanzo Haikuwa rahisi,kumaanisha nini Tumejipata mwaisa Tumejipata mwaisa Tumejipata mwaisa Because mwanzo haikuwa rahisi (Haikuwa rahisi) Tumejipata mwaisa Tumejipata mwaisa Tumejipata mwaisa Because mwanzo haikuwa rahisi (Honey) Haikuwa rahisi Jana jumapili kabla jumapili goma Leo tunavesha leo tunachoma Dj Asumami vine tunataka ngoma(Asumani) Waiter zungusha hivyo vinyama choma Oyaaa maokoto maokoto Yamekubali yamekubali Hatuogopi Bill Hatuogopi Bill Hawatudai Hawatudai Oyaaa maokoto maokoto Yamekubali yamekubali Hatuogopi Bill Hatuogopi Bill Hawatudai Hawatudai Kumaanisha nini Usione tuna furaha kinoma maana Mwanzo haikuwa rahisi Usione tunalewa kinoma maana Mwanzo haikuwa rahisi Usione tunapendana kinoma maana Mwanzo haikuwa rahisi Usione bata tunakula bata mwanzo Haikuwa rahisi Tumejipata mwaisa Tumejipata mwaisa Tumejipata mwaisa Because mwanzo haikuwa rahisi Tumejipata mwaisa Tumejipata mwaisa Tumejipata mwaisa (Ona nana) Because mwanzo haikuwa rahisi She got a long hair sting like antenna Getting money not the entertainer Who you follow dont matter What you feel like Hold your gun can't tell a hater My baby nae kamjengea kaghotofa Mommy girl dey flexing the check And fella eeeh Everybody is a blessing All we do is a blessing Ufukara matatizo yamekwisha Mola kaamua kutupandisha Ni muda sasa umefika Kweli haikuwa rahisi Maokoto Oooooh yamekubali Ooooh hatuogopi bill hawatudai Usione tuna furaha kinoma maana Mwanzo haikuwa rahisi Usione tunalewa kinoma maana Mwanzo haikuwa rahisi Usione tunapendana kinoma maana Mwanzo haikuwa rahisi Usione bata tunakula bata mwanzo Haikuwa rahisi Tumejipata mwaisa Tumejipata mwaisa Tumejipata mwaisa Because mwanzo haikuwa rahisi Tumejipata mwaisa Tumejipata mwaisa Tumejipata mwaisa Because mwanzo haikuwa rahisi
Writer(s): Emmanuel Mkono, Aika Marealle Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out