album cover
Joto
1,192
Pop
Joto was released on July 3, 2023 by Official Gachi as a part of the album Joto - Single
album cover
Release DateJuly 3, 2023
LabelOfficial Gachi
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM95

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Official Gachi
Official Gachi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Official Gachi
Official Gachi
Songwriter

Lyrics

Mwenzako joto lanipanda na weweseka
Kwa kitanda yani upendo wanipanda
Kama masihara
Mwenzako joto lanipanda na weweseka
Kwa kitanda yani upendo wanipanda kama masihara
Aibu uh uh uhuu na anzaje kukuambia mi
Aibu uh uh uhuu
Karibu uh uh uhuu na anzaje kuku sogeza mi karibu uh uh uhuu
Nawaza nikuambie leo au
Nikuambie kesho
Ka uoga kanani panda
Kauoga kanipanda
Nawaza nikuambie leo au
Nikuambie kesho
Kauoga kanipanda
Ka uoga kanipanda
Mwenzako joto lanipanda na weweseka
Kwa kitanda yani upendo wanipanda kama masihara
Mwenzako joto lanipanda na weweseka kwa kitanda yani upendo wanipanda kama masihara
Nimeamini kumbe kweli mapenzi yana choma yana chomaa
Na mtu ukimpenda
Uwezi ficha
Moyoni ndani kwa ndani
Inanila yani
Mbona mtihani umeni pata Mimi
Nawaza nikuambie leo au nikuambie kesho
Ka uoga kanani panda ka uoga kanipanda
Nawaza nikuambie leo au nikuambie kesho ka uoga kanipanda ka uoga kanipanda
Mwenzako joto lanipanda na weweseka kwa kitanda yani upendo wanipanda kama masihara
Mwenzako joto lanipanda na weweseka kwa kitanda yani upendo wanipanda kama masihara
Written by: Official Gachi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...