album cover
Abee
album cover
Abee was released on September 4, 2023 by Official Gachi as a part of the album Abee - Single
September 4, 2023
LabelOfficial Gachi
BPM97
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
Penzi tamu no drama tulia umoo
Iwe shida rahaa nitakaza now I think you know
We kwangu kipupwe napepewa tu, hunitembezi peke navaa viatu
Unaniimbia kikwetu nasinzia tuu, na ikiwa unyevu ndo tamu yetu
[PreChorus]
Moyoo wangu ovyooo ukinigayaa (Yanii mambo mbayaaa)
Ovyoo ukinigayaa (Yani mambo mbayaa)
[Chorus]
We nibebebe ukiniita naitika abee, abee, abee abee
We nibebebe ukiniita naitika abee, abee, abee abee
We nibebebe ukiniita naitika abee, abee, abee abee
We nibebebe ukiniita naitika abee, abee, abee abee
[Verse 2]
Kata fimbo nicharaze bila tabu chini nilaze
Weka nazi mboga inoge, pishi tamu tena niongezee
Upele umepata wa kukunaa, unanipuliza hunambii koma
Hujui kususa nikikuomba tenaa, Ikifumuka unashona tenaa
[PreChorus]
Moyoo wangu ovyooo ukinigayaa (Yanii mambo mbayaaa)
Ovyoo ukinigayaa (Yani mambo mbayaa)
[Chorus]
We nibebebe ukiniita naitika abee, abee, abee abee
We nibebebe ukiniita naitika abee, abee, abee abee
We nibebebe ukiniita naitika abee, abee, abee abee
We nibebebe ukiniita naitika abee, abee, abee abee
[Outro]
Ya nini una ubaia (Wee) una ubaya (Wewe)
Jiachilie mwaya (Wee) una ubaya (Wewe)
Ya nini una ubaia (Wee) una ubaya (Wewe)
Jiachilie mwaya (Wee) una ubaya (Wewe)
Written by: Official Gachi

Loading...