Lyrics

Tusisahau dunian tunapita Sisi ni wasafiri Tunakwenda mbali Na kule tuendako sisi Tutaoa hesabu za mambo ya dunia hii Ya nini Kusemana vibaya Kupingana kuchukiana Ya nini Kuchukiana Kupingana kuumizana mioyo Tazama lini mito huvuka mipaka yake Mtoto akimtukana baba yake Kila mmoja ashike nafasi yake yeye Kila mtu amuone ndugu yake Asijione bora zaidi ya mwenzake Sote tuko sawa Mbele zake Mungu Twaona sisi ni ndugu Kwa pamoja tupendane Twaona sisi ni ndugu Kwa pamoja tupendane Upendo huvuma kila hali Katika shida wewe ndio wakunijali Nisikwamwe nawe ukanitupa mbali Ukafurahia Nitajitahidi kukujali Ili nawewe ufikie mahali Yaani hata kama sio kadiri ya vile utakavyo Ya nini kusemana vibaya Kuchukiana kuumizana mioyo Ya nini kusemana vibaya Kuchukiana kuumizana mioyo Tazama lini mito huvuka mipaka yake Mtoto akimtukana baba yake Kila mmoja Ashike nafasi yake yeye Kila mtu amuone ndugu yake Asijione bora zaidi ya mwenzake Sote tuko sawa mbele zake Mungu Twaona sisi ni ndugu Kwa pamoja tupendane Twaona sisi ni ndugu Kwa pamoja tupendane Sisi ni ndugu Tupendane
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out