Lyrics

Aaaah mmmmh baby Beautiful Mungu kampatia Unavigezo naitaji na fahamu fika Ila mapenzi mtihani ndo bado sijaupita Mara nyingine uendeshwa na ujana nakuaibisha Kwanza nikupongeze kwa kunivumilia Leo ujana moshi nakung'ang'ania Would you marry me baby Aye aaah aye mmmh eyoo... eyoo Mmmmm... Aye aaah aye mmmh eyoo... eyoo The kind woman, special kind woman Mama yako kakufunda vyema Uzuri wako tabia yako ndo inayonivutia Nikama hadithi nzuri au tunaigiza kipindi Jinsi tunapendana Kwanza nikupongeze kwa kunivumilia Mbele ujana moshi nakung'ang'ania Aye mmmh aye mmmm eyaah would you marry me baby Aye mmmh aye mmmm eyaah Aye mmmh aye mmmm eyaah would you marry me baby Aye mmmh aye mmmm eyaah
Writer(s): Jacob Obunga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out